Tutatoa watanzania wote kenya unless they are professionals.

wafukuzeni basi wa tz kama mna jeuri hiyo. nyie kutuvimbia ndo hamuwezi kabisa

action ya kwanza tunaanza na KQ, tutaona kama mtaweza kusurvive hata kwa siku mbili tu
 
wafukuzeni basi wa tz kama mna jeuri hiyo. nyie kutuvimbia ndo hamuwezi kabisa

action ya kwanza tunaanza na KQ, tutaona kama mtaweza kusurvive hata kwa siku mbili tu

KQ will operate tena Daily flights na hakuna kitu mnafanya. Weye unayetembea mguu tupu hujawahi hata panda basi ya mkoani unaharahara hapa juu ya KQ
 
ila sishangai mana hata nyie wenyewe kwa wenyewe tu mnachukiana, ukabila umewatawala.
Kama vile CCM na Chadema??
For more info unaweza kupitia hapa ukasoma.

>>> https://www.eac.int/common-market
Jaribu kuwashauri viongozi wako wavunje EAC mana haya ndo makubaliano baina ya viongozi wa EAC.View attachment 1140365View attachment 1140366
Sylvia Mulinge alipoajiriwa na Vodacom Tz SI Serikali yenu ilimnyima vibali baada ya Watanzania kusema hawataki mkenya afu mkaleta Kutoka Misri? Sasa mbona unapiga kelele Kenya ikiwafungia Watanzania? Mkuku kwa nguruwe mtamu, kea binadamu mchungu eeh?
wafukuzeni basi wa tz kama mna jeuri hiyo. nyie kutuvimbia ndo hamuwezi kabisa

action ya kwanza tunaanza na KQ, tutaona kama mtaweza kusurvive hata kwa siku mbili tu
SI mlisema KQ iko na Ndege 3? Sijui zinapata nafasi lini ya kutuua JNIA na bado ziruke NY, Uropa, Uchina na West Afrika.
 
kukodisha shamba ni sawa iyo ni kama kuinvest lakini mkenya akuje Dar kuuza mahindi choma ama ku hawk karanga sio sawa
Mnataka EAC ili mnunue mashamba tu? Na viwanja? Ukiwa jirani yangu iwa akili kama zako tutaelewana kweli?
 
The bad thing is that, all what happened was started by Kenya itself, the destruction of chicks and denial of the vodacom lady. Kenya had started the war earlier when they denied importation of wheat and domestic gas from Tz just because tz was doing better on that. Lake oil and azam suffered a lot during this conflict.

As reprisal,tz had to destroy the chicks and threaten to ban their KQ, itbis when kenyattabhad to bow down to kikwwte as rhey met in Namibia.

To my understanding, we have more kenyans in tz than tz in kenya, and kenya needs tz more than tz needs kenya. Our schools are flooded by kenyans doing the jobs Tanzanians could do but they are just allowed to work. A lot of goods flood from kenya of which if we ban them tomorrow kenyan companies will suffer.

One thing I warn of you Kenyans is that,our current leadership is too reckless in making decisions,pray to God that you won't be surprised with a counter attack which will shut up your ass.
 
nilishangaa sana Tanzania tumekua watu wa namna gani tunamkatalia mtu kufanya kazi nchini bila sababu.. I had to find out about the matter na nimegundua tulikua na sababu nzuri tu.. for more info visit hii website
>>> https://www.cnyakundi.com/kenyas-mo...-mulinge-denied-vodacom-tanzania-work-permit/
 
Wewe kama Kitoto tu hujui lolote
Kwa akili yako mnawaza Watanzania ndio watapoteza!!!
Unajua mie naombea hilo lifanyike tuone
I think, we think the same, napenda hiyo kitu hata baadae leo soon after match.
 
I doubt kama viongozi wataamua kufutilia mbali EAC kwasababu ya huyu baboon mmoja.
 
Mkuu wanajua sema ni aina ya wale watu wachokozi ambao wakipigwa wanaona wanaonewa, alafu Unajua vile vifaranga aliye vinunua ni mTz akavileta kimagendo alafu cha ajabu ni wao ndo wanapanua midomo
 
Aliekuambia huku Tz hakuna changudoa wa kenya nani ? Mimi mwenyewe nimeajiri wahudumu wa kikenya ..
 
Ndugu, ungekuwa mkali hivi wakati wakulima wa Koroshow wananyanyaswa, omba omba wa hawangekuwa wamerundikana Kenya na Tz ingekuwa mbele Sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie ile mifugo mnafuga kibera , wamejaa , changudoa , wakora wa kila aina , hao ni sababu ya korosho pia?? Jipange kijana.
 
Wewe kama Kitoto tu hujui lolote
Kwa akili yako mnawaza Watanzania ndio watapoteza!!!
Unajua mie naombea hilo lifanyike tuone
As soon as mm kuna mashamba naenda kuyachukua tu fasta hapo njombe nasubiri tu kitufe kibonyezwe
 
Nyie ile mifugo mnafuga kibera , wamejaa , changudoa , wakora wa kila aina , hao ni sababu ya korosho pia?? Jipange kijana.
Hata hapa jamiiforum tutawatoa wapuuzi sana kwenu nyie english ndo Taaluma Muwe na adabu na mwajiri wenu Nyoko zenu
 
Hata hapa jamiiforum tutawatoa wapuuzi sana kwenu nyie english ndo Taaluma Muwe na adabu na mwajiri wenu Nyoko zenu
English ya nini , sisi sio watumwa tunaongea lugha yetu kiswahili kwa raha zetu , nyie endeleeni kujilamba kwa wazungu , na tutawaajiri sana tu .
 
Kama mnataka kutoa watz watoeni kwa utaratibu na sio kuwavamia kwenye biashara zao na kuwapiga kwasababu tu mnaogopa ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…