Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Yupo mkenya hapa anytime yupo gal sport betting hana kazi habadilishi nguohakuna mkenya house help tz
Ye english miiiiiingi na ndoto za kuzamia marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo mkenya hapa anytime yupo gal sport betting hana kazi habadilishi nguohakuna mkenya house help tz
Hotel???? Msomi wa Tanzania hawezi kufanya kazi kwenye hotelHakuna hotel kubwa yoyote Tanzania ambayo hakuna mkenya anayefanya hapo kazi. Wengi ni wakenya wakifuatiwa na wahindi, na watu wengine halafu ndo watanzania wanafuata ambao utawakua kwenye idara za udereva, usafi, reception mmoja mmoja lakini huko level ya kati na senior level ni wakenya, wahindi ndo wamekamata
walikuwa wanasaidia Ufaransa?? Haya nayasikia na wewe.
KQ will operate tena Daily flights na hakuna kitu mnafanya. Weye unayetembea mguu tupu hujawahi hata panda basi ya mkoani unaharahara hapa juu ya KQ
Kama mnataka kutoa watz watoeni kwa utaratibu na sio kuwavamia kwenye biashara zao na kuwapiga kwasababu tu mnaogopa ushindani
Have you seen your Tanzanian HDI and innovation index scores? i guess not otherwise you wouldn't have said that.
Mbona unaenda kukunywa supu ya Albino
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee!90% of English teachers in Tanzania are Kenyans...And they are preferred because they can interpret from English to Kiswahili...A Tanzanian cannot do that!
My children attend English medium schools and none of them have kenyans. I must agree that Kenyan teachers dominated the past ten years (St.Mary schools), those kids who were taught by them have become teachers to replace them. only a few kenyan teachers dominate in Arusha, Kilimanjaro and some schools in Dar es salaam, but you will find very few of them in other regions.Did you really understand my point?? Tanzania as a country is a Swahili speaking nation..Few know how to write and speak English...They have been bringing teachers on board to teach children English, especially kids of the elite people..The best suited people to do that are Kenyans, who can write and talk English and still can translate the same in Swahili to their kids...My point is, a teacher from Zimbabwe and Uganda stand less chances due to them not understanding the Swahili language...Kenyans Fit in well!
Doesn't matter...The point is, you have Kenyan teachers teaching in Tz!My children attend English medium schools and none of them have kenyans. I must agree that Kenyan teachers dominated the past ten years (St.Mary schools), those kids who were taught by them have become teachers to replace them. only a few kenyan teachers dominate in Arusha, Kilimanjaro and some schools in Dar es salaam, but you will find very few of them in other regions.