Tutavikumbuka Vyombo vya Habari Tanzania na baadhi ya Viongozi wa Dini kwa kuliaibisha Taifa 2020

Ni kwa nguvu ya umma pekee tutaiondoa ccm hakuna namna nyingine watanzania.
 
Viongozi wa BAKWATA chini ya Mufti na yule Sheikh wa Dsm ndiyo hamna kitu kabisa. Bora ya Sheikh Ponda amebaki pekee kusema ukweli bila kuogopa yatakayomtokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…