Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM mkipata hata 40% mwaka huu mimi najitoa Jamii Forums. Amini nakwambiaKwanza kwenye Vita hakuna kulemba hata sisimizi ni wa kumfinyanga finyanga
CCM tumejiandaa kufanya Kampeni za kijeshi nchi nzima usiku na mchana nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda
Tutawashawishi wananchi wampe Magufuli ushindi wa 90%
Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa miaka 5 na pia itakuwa ni ishara ya kumtia moyo apambane tena kwa miaka mingine 5