Tutawakumbuka daima mlale salama mashujaa wa Taifa

The introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
1,508
Reaction score
3,136
TUTAWAKUMBUKA DAIMA
MLALE SALAMA MASHUJAA WA TAIFA🫡🇹🇿

Hii picha ilibeba hisia nyingi sana zinazoumiza mpaka leo nimejitahidi kukaa kimya moyo umeishia kububujikwa na machozi Rest in Paradise makamanda wote mlioamua kuipambania nchi.

Moja kati ya matukio hatarishi zaidi ya Serikali kwa walipa kodi wake tangia tupate uhuru cha ajabu viongozi wanataka tuisahau hii siku kana kwamba waliopoteza uhai walikuwa ni kuku na sio watanzania wenzetu .Anyway Karma is Real P alisema.

Ilisemekana ni wa nchi jirani lakini misiba ilikua ya ndugu zetu
 
Nikimuangalia dogo mmoja hapa mtaani ambaye alipigwa risasi akiwa anafunga kibanda chake cha kutafutia riziki ikavunja nyonga akiwa anatembea na magongo yake huwa naumia sana.

Pole za dhati ziendelea kwenda kwa wote waliouliwa wapendwa wao bila huruma.
 
Ilisemekana ni wa nchi jirani lakini misiba ilikua ya ndugu zetu
"Serikali dhaifu hukataa kuwajibika katika makosa yake"

Cha ajabu ni kwamba walikiri kutokea zaidi ya vifo 500 within a one day yaani siku moja tena sio natural deaths ni man made deaths duh😥 lakini hakuna kiongozi yoyote wa usalama au ulinzi aliyewahi kuwajibishwa inafikirisha sana.
 
Maskini kijana sijui anapitia maumivu gani mpaka sasa 😥
 
Inasikitisha lakini ngoja tuone
 
Na walaaniwe machawa wote wanao tetetea huo uovyu
 
Tumlaumu sana Maria sarungi, Mange kimambi na wote waliochochea aisee , wasingelianzisha pilisi wangepiga watu ya nini?
 
WALAAAANIWE WOTE WALIOTAKA KUONA TUNAINGIA KWENYE VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE NA TAIFA KUFILISIWA MBWA MBWA MBWA KABISA KWA WOTE WALIOFURAHIA WAHUNI , MAJAMBAZI NA VIBAKA KUINGIA MTAANI
 
Siku ya maombolezo ya kitaifa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…