Mali zinatafutwa, na ndio maana kwenye commerce ya form 2 ulifundishwa aids to trade, ambapo kuna Banking, Insurance, Transportation, Warehousing, na Advertisements.
Katia biashara yako bima.
Pia wengi sana waliuawa majumbani, Master Tindwa mtangazaji wa Clouds Media Group alipigwa risasi nyumbani kwake.
Sheikh Shariff Majini alipigwa risasi nyumbani kwake.
Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi.
Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili.
Hana haja ya kupewa R.I.P.
Joceyline alipigwa risasi akiendesha gari kumpeleka mwanaye hospitali. Je hawa kosa lao ni lipi?
Maelfu wameuawa pasipo hatia