AirorokiVava
JF-Expert Member
- Aug 25, 2026
- 258
- 302
We mbwa kwl, picha ya kutengeneza? Mashuja gani hao, walioharibu miundo mbinu ya nchi?, waliwaibia watanzania? Waliochoma mali za watu na za umma? We na wenzio ni makenge yasiyojitambua.TUTAWAKUMBUKA DAIMA
MLALE SALAMA MASHUJAA WA TAIFA🫡🇹🇿
View attachment 3701073
Hii picha ilibeba hisia nyingi sana zinazoumiza mpaka leo nimejitahidi kukaa kimya moyo umeishia kububujikwa na machozi Rest in Paradise makamanda wote mlioamua kuipambania nchi.
Moja kati ya matukio hatarishi zaidi ya Serikali kwa walipa kodi wake tangia tupate uhuru cha ajabu viongozi wanataka tuisahau hii siku kana kwamba waliopoteza uhai walikuwa ni kuku na sio watanzania wenzetu .Anyway Karma is Real P alisema.
View attachment 3701074
Nilikusahau ingia kwenye ignore boxTumlaumu sana Maria sarungi, Mange kimambi na wote waliochochea aisee , wasingelianzisha pilisi wangepiga watu ya nini?
WALAAAANIWE WOTE WALIOTAKA KUONA TUNAINGIA KWENYE VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE NA TAIFA KUFILISIWA MBWA MBWA MBWA KABISA KWA WOTE WALIOFURAHIA WAHUNI , MAJAMBAZI NA VIBAKA KUINGIA MTAANI
NIPE BLOCK KABISA LAKINI NDO UKWELI MNASHANGALIA MALI ZA WATU ZILICHOMWA TUINGIE KNYE UASKINI WA KUSABABISHIWA? WASINGEZUIWA LEO KARIAKOOO, POSTA MLIMANI CITY NA MATAJIRI WANGAPI WANGEKUWA MASKINI WA AJABU? MAHOSPITALI MABENKI MANGAPI YANGEKUWA YAMESHACHOMWA ? SHENZI KABISA NA WEWE HUNA AKILI YA A KUVUKIA BARABARANilikusahau ingia kwenye ignore box
UPO SAHIHI KABISA YAAANI MATANZANIA MENGINE NI MAJINGA MPAKA BASI YANAFURAHIA TULIKUWA LEO TUNAINGIA KNYE UMASKINI WA AJABU FIKIRIA TU WANGEPENYA KARIAKOO, POSTA NA KNYE MIJI MIKUBWA MAENEO YA BIASHARA LEO INEKUWA NI ANGUKO LA KIHISTORIAWe mbwa kwl, picha ya kutengeneza? Mashuja gani hao, walioharibu miundo mbinu ya nchi?, waliwaibia watanzania? Waliochoma mali za watu na za umma? We na wenzio ni makenge yasiyojitambua.
kumbe mnykt wa tume anawasaka walionusurika?Ndio yupo anasakwa na Jaji Lila huyo dogo?
Ulikua haujui? Ndio kazi aliyopewa Jaji Lila hio kuwasaka watu km hao au haukumsikiliza wakati anaongea?kumbe mnykt wa tume anawasaka walionusurika?
Wa kulaumiwa kabisa ni yule aliyesema wanajeshi wa JWTZ wakae tayari. Nchi inaenda kwenye uchaguzi wa kiraia na wa kidemokrasia, jeshi like tayari kumuua ñani? Kazi ya jeshi ni kuua adui wanaotoka nje ya mipaka yetu.Tumlaumu sana Maria sarungi, Mange kimambi na wote waliochochea aisee , wasingelianzisha pilisi wangepiga watu ya nini?
WALAAAANIWE WOTE WALIOTAKA KUONA TUNAINGIA KWENYE VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE NA TAIFA KUFILISIWA MBWA MBWA MBWA KABISA KWA WOTE WALIOFURAHIA WAHUNI , MAJAMBAZI NA VIBAKA KUINGIA MTAANI
Una hamu et, watakufilimba ***** weweNINA HAMU WALIOBAKI AMBAO HAWAKUBIGWA RISASI WATAFUTWE WAUWAWE WOTE , ALAAANIWE MARIA SARUNGI NA MANGE KIMAMBI
sindano imeingia siyo? na mbwa yeyote aingie mtaani aoneUna hamu et, watakufilimba ***** wewe
ndugu vyombo vyote vya ulinzi na usalama kazi zake ni kutulinda, hivi jiweke nafasi ya tajiri wa exter buses, nafasi ya D VOIVE BAR kawekeza bilioni 4 imechomwa na kuibiwa na vibaka mbwa wachafu, jiweke una mkopo bank nyumba dhamana wale mbwa koko wamekuja wamechoma , jiweke nafasi ya shishi na nenga ? kwani vile vibaka walivyokufa tumepungukiwa na nini? tena watafutwe wengine wamalizwe kabisa hatutaki DNA ya majambaziWa kulaumiwa kabisa ni yule aliyesema wanajeshi wa JWTZ wakae tayari. Nchi inaenda kwenye uchaguzi wa kiraia na wa kidemokrasia, jeshi like tayari kumuua ñani? Kazi ya jeshi ni kuua adui wanaotoka nje ya mipaka yetu.
Sasa huyu mama aliamuru jeshi letu liuwe watoto wetu
Sarungi ndio aliua watoto kwenye banda la video?Tumlaumu sana Maria sarungi, Mange kimambi na wote waliochochea aisee , wasingelianzisha pilisi wangepiga watu ya nini?
WALAAAANIWE WOTE WALIOTAKA KUONA TUNAINGIA KWENYE VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE NA TAIFA KUFILISIWA MBWA MBWA MBWA KABISA KWA WOTE WALIOFURAHIA WAHUNI , MAJAMBAZI NA VIBAKA KUINGIA MTAANI
Ulikua haujui? Ndio kazi aliyopewa Jaji Lila hio kuwasaka watu km hao au haukumsikiliza wakati anaongea?
ndiye aliyesababisha vurugu zikaanza polisi wangewezaje kuchuja watu wakati wa vurugu?Sarungi ndio aliua watoto kwenye banda la video?
KWa iyo ndio iliwapa kibali ninyi mapolisi kuua wamama, watoto na kila mwananchi?ndiye aliyesababisha vurugu zikaanza polisi wangewezaje kuchuja watu wakati wa vurugu?
hivi jiweke nafasi ya askari ambaye wenzake wameshauwa kadhaaa na vurugu kila mahali unafanyaje ukiona vijana unajua wame camouflage wanasubiri mpite walianzishe nyumaKWa iyo ndio iliwapa kibali ninyi mapolisi kuua wamama, watoto na kila mwananchi?
Inaingia akilini mwako kisawasawa?
situation ilikuwa mbaya sana sana wahuni na majambazi waliiitesa sana vyombo vya ulinzi wananchi wema, fikiria sisi tulilinda ofisi zetu 48 hrs bila kufunga jicho na bado walijaribu sana sana kweli ntakuja kuwa na huruma ya waliouwawa? ki ukweli nilisikitika sana waliuwawa wachache sana angalau wangepigwa shaba kama elfu 6 hiviKWa iyo ndio iliwapa kibali ninyi mapolisi kuua wamama, watoto na kila mwananchi?
Inaingia akilini mwako kisawasawa?
Mwenye nguvu ya risasi lazima awe na hekimahivi jiweke nafasi ya askari ambaye wenzake wameshauwa kadhaaa na vurugu kila mahali unafanyaje ukiona vijana unajua wame camouflage wanasubiri mpite walianzishe nyuma
Utakufa kwa upanga I was there it was very worse ule ulikuwa unyama lkn zile damu zitawadai kama ulihusika kwa namna yoyote Mungu akaseme na wewe kupitia damu zilizomwagika.situation ilikuwa mbaya sana sana wahuni na majambazi waliiitesa sana vyombo vya ulinzi wananchi wema, fikiria sisi tulilinda ofisi zetu 48 hrs bila kufunga jicho na bado walijaribu sana sana kweli ntakuja kuwa na huruma ya waliouwawa? ki ukweli nilisikitika sana waliuwawa wachache sana angalau wangepigwa shaba kama elfu 6 hivi
Polisi walijipanga kuua na waliua kwanza kabla ya matukio ya kisasi kutoka kwa wananchi.situation ilikuwa mbaya sana sana wahuni na majambazi waliiitesa sana vyombo vya ulinzi wananchi wema, fikiria sisi tulilinda ofisi zetu 48 hrs bila kufunga jicho na bado walijaribu sana sana kweli ntakuja kuwa na huruma ya waliouwawa? ki ukweli nilisikitika sana waliuwawa wachache sana angalau wangepigwa shaba kama elfu 6 hivi
Ukitumia nguvu bila akili ndio madhara yake haya, mioyo ya watu imejeruhiwa leo mtu anakuja anaona kilichofanyika ni sawa hapana hata shetani wakati mwingine ni watu wenyewe.Polisi walijipanga kuua na waliua kwanza kabla ya matukio ya kisasi kutoka kwa wananchi.
Kuna raia wengi tu walikua wamepoa simulizi zinasema polisi waliingia mitaani na kufyatua risasi hovyo.
Mpaka Raia wanakuja kituoni na kuanza kuua, askari walikua wapi? Na iweje raia waanze na polisi wakati shida ilikua dhidi ya wanasiasa?