Aseeh we jamaa muogope Mungu. Kuna siku utajutia Kwa haya maneno unayoyasema au unazania humu hakuna VYOMBO vya ulinzi na usalama wanaojutia na kutubu Kwa dhambi walioifanya? Acha wenge kijanasituation ilikuwa mbaya sana sana wahuni na majambazi waliiitesa sana vyombo vya ulinzi wananchi wema, fikiria sisi tulilinda ofisi zetu 48 hrs bila kufunga jicho na bado walijaribu sana sana kweli ntakuja kuwa na huruma ya waliouwawa? ki ukweli nilisikitika sana waliuwawa wachache sana angalau wangepigwa shaba kama elfu 6 hivi
Hawa sio watu, ndio maana wanahitajika wasomi jeshiniUkitumia nguvu bila akili ndio madhara yake haya, mioyo ya watu imejeruhiwa leo mtu anakuja anaona kilichofanyika ni sawa hapana hata shetani wakati mwingine ni watu wenyewe.
Jinga Sana hiloAseeh we jamaa muogope Mungu. Kuna siku utajutia Kwa haya maneno unayoyasema au unazania humu hakuna VYOMBO vya ulinzi na usalama wanaojutia na kutubu Kwa dhambi walioifanya? Acha wenge kijana
wajutie kwa sababu gani? acha ubwege basi hivi wasingepigwa risasi leo tungekuwa wapi? kweli nasali sana waliobaki mtaani wafage hata kwa ajali tu ila wangepatika najitolea kuwakata vichwaAseeh we jamaa muogope Mungu. Kuna siku utajutia Kwa haya maneno unayoyasema au unazania humu hakuna VYOMBO vya ulinzi na usalama wanaojutia na kutubu Kwa dhambi walioifanya? Acha wenge kijana
kihalali wale walitakiwa maiti zao zichomwe moto na waliojeruhiwa wangesagwa sagwa na excavators wale watoto majizi walizingua sana , yaani mtu anachoma anarusha jiwe unamwagia maji? au unapiga mabomu ya machozi kweli?Mwenye nguvu ya risasi lazima awe na hekima
Huwezi kuua kila kitu unachokiona mbele yako eti kisa poti mwenzako aliuawa kikatili. Kuna watu wapo vitani na kuna adui na kuna raia, kuna rules of engagement.
Kwenye maandamano kuna zana za kudeal na waandamanaji si kuua watu zaidi ya 2,000, unawabeba na kudampo nje ya hosp, unachukua gari la taka unaenda wazika kwenye makaburi ya halaiki, waliojeruliwa unawazika wazima, hospitali unawakataza wasipokee majeruhi, ushahidi unafuta, watoto unawaua.
HUo ni ukatili uliokithiri, Tanzania hatujahi kua hivi
yaani damu ya Maajambazi inene, ilie? kweli wewe zuzu? damu iache kunenea ya watu wa gaza, kongo, sudani, ije inene ya majizi?Utakufa kwa upanga I was there it was very worse ule ulikuwa unyama lkn zile damu zitawadai kama ulihusika kwa namna yoyote Mungu akaseme na wewe kupitia damu zilizomwagika.
nadhani wewe haupo Tanzania tuulize tuliokuwepo field siku hivyoPolisi walijipanga kuua na waliua kwanza kabla ya matukio ya kisasi kutoka kwa wananchi.
Kuna raia wengi tu walikua wamepoa simulizi zinasema polisi waliingia mitaani na kufyatua risasi hovyo.
Mpaka Raia wanakuja kituoni na kuanza kuua, askari walikua wapi? Na iweje raia waanze na polisi wakati shida ilikua dhidi ya wanasiasa?
It seems una tatizo kubwa la afya ya akili, Unamjua Master Tindwa? Naye alikuwa kibaka?yaani damu ya Maajambazi inene, ilie? kweli wewe zuzu? damu iache kunenea ya watu wa gaza, kongo, sudani, ije inene ya majizi?
yaaani ukweli nawachukia sana sana sana tena sana waliotuletea ule usumbufu na hasara ile siku nawalaaani na ningeweza kulipiza kisasi ningefanya hivyo ndo maana nimeshangilia sana hata TWAHA NA MDUDE KUTEKWAIt seems una tatizo kubwa la afya ya akili, Unamjua Master Tindwa? Naye alikuwa kibaka?
Wapo wengi sana waliouwawa na polisi kwa sababu ya uzembe na ujinga wa hao polisi,
Nimegundua huna akili nzuri na waswahili husema Mjinga Mpe Cheo ,nimekupa cheo mkuu sitokujbu tena
View attachment 3701325
Hujajibu swali ,master Tindwa naye alikuwa kibaka?yaaani ukweli nawachukia sana sana sana tena sana waliotuletea ule usumbufu na hasara ile siku nawalaaani na ningeweza kulipiza kisasi ningefanya hivyo ndo maana nimeshangilia sana hata TWAHA NA MDUDE KUTEKWA
Nilikuwa mwanza siku kama ya leoHawa sio watu, ndio maana wanahitajika wasomi jeshini
Kwaiyo wote uliowauwa walikuwa majambazi?yaani damu ya Maajambazi inene, ilie? kweli wewe zuzu? damu iache kunenea ya watu wa gaza, kongo, sudani, ije inene ya majizi?
Ndugu kwenye lile vurugu ni kweli kabisa lazima kuna wengine wamepigwa risasi kimakosa , lakini ni kawaida kabisa kwenye vurugu wengi wanaumia kimakosa ndo maana tuwalaani wachocheziHujajibu swali ,master Tindwa naye alikuwa kibaka?
Hata sisi tunakulaaniyaaani ukweli nawachukia sana sana sana tena sana waliotuletea ule usumbufu na hasara ile siku nawalaaani na ningeweza kulipiza kisasi ningefanya hivyo ndo maana nimeshangilia sana hata TWAHA NA MDUDE KUTEKWA
ASILIMIA KUBWA waliopigwa kimakosa ni asilimia 2 mpka 5 tu hujui vyombo vilivyokuwwa vinafanya kazi . wapelelezi waliokuwa kiraia ndo walikuwa wanatoa signals na signs za wafanya vurugu ndo team ya special squad inaelekea huko wakiwa na LX landcruisers , unajua kulikua na maofisa wengi walikuwa wanazunguka mtaani na magari binafsi kutoa taarifa za wapi wanajikusanya na wanaelekea wapi? haikuwa random operation ilikuwa strategically planned intensive operations zima uasiNilikuwa mwanza siku kama ya leo
Kwaiyo wote uliowauwa walikuwa majambazi?
sawa nashukuru ndugu ,Hata sisi tunakulaani
Basi ushapata jibu so mamia ya walipa kodi waliuawa kimakosa na serikali haijataka kukubali ukwelilakini ni kawaida kabisa kwenye vurugu wengi wanaumia kimakosa
Mali zinatafutwa, na ndio maana kwenye commerce ya form 2 ulifundishwa aids to trade, ambapo kuna Banking, Insurance, Transportation, Warehousing, na Advertisements.ndugu vyombo vyote vya ulinzi na usalama kazi zake ni kutulinda, hivi jiweke nafasi ya tajiri wa exter buses, nafasi ya D VOIVE BAR kawekeza bilioni 4 imechomwa na kuibiwa na vibaka mbwa wachafu, jiweke una mkopo bank nyumba dhamana wale mbwa koko wamekuja wamechoma , jiweke nafasi ya shishi na nenga ? kwani vile vibaka walivyokufa tumepungukiwa na nini? tena watafutwe wengine wamalizwe kabisa hatutaki DNA ya majambazi
achache sana kama 5 mpaka 10 tu wengi majiziBasi ushapata jibu so mamia ya walipa kodi waliuawa kimakosa na serikali haijataka kukubali ukweli
walikuwa wachache sana, kwa nini ukachome na kuiba mali ya mwenzako hujui alivyojibana na kupambana?Mali zinatafutwa, na ndio maana kwenye commerce ya form 2 ulifundishwa aids to trade, ambapo kuna Banking, Insurance, Transportation, Warehousing, na Advertisements.
Katia biashara yako bima.
Pia wengi sana waliuawa majumbani, Master Tindwa mtangazaji wa Clouds Media Group alipigwa risasi nyumbani kwake.
Sheikh Shariff Majini alipigwa risasi nyumbani kwake.
Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi.
Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili.
Hana haja ya kupewa R.I.P.
Joceyline alipigwa risasi akiendesha gari kumpeleka mwanaye hospitali. Je hawa kosa lao ni lipi?
Maelfu wameuawa pasipo hatia
Hapana kwenye babarabara tuu mlipita mlishoot kila aliyepita walioskia mlio wakaenda kujinusuru nao mkawafwata nakuwateketeza huo ulikuwa mkakati kuna jaamaa alikuwa ananawa kwenye banda la mama antilie anywe chai mkamshoot,kuna kinyozi ananyoa mkamshoot mwingine alikuwa anakata nyama Buchani..... hakukuwa na tangazo wala agizo it was all over suddenly vibaka ni 1% ya hayo mauwaji yote 99% hawakuwa na hatia yoyote lakini pia haikufika kiwango cha kuuwa hata kibaka nyie mlikuwa na poor planning hamkujipanga kuzuia bali kuuwaASILIMIA KUBWA waliopigwa kimakosa ni asilimia 2 mpka 5 tu hujui vyombo vilivyokuwwa vinafanya kazi . wapelelezi waliokuwa kiraia ndo walikuwa wanatoa signals na signs za wafanya vurugu ndo team ya special squad inaelekea huko wakiwa na LX landcruisers , unajua kulikua na maofisa wengi walikuwa wanazunguka mtaani na magari binafsi kutoa taarifa za wapi wanajikusanya na wanaelekea wapi? haikuwa random operation ilikuwa strategically planned intensive operations zima uasi