Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Waliouawa majumbani ni wengi kuliko waliouawa mitaani. Mitaani watu waliuawa siku ya kwanza.walikuwa wachache sana, kwa nini ukachome na kuiba mali ya mwenzako hujui alivyojibana na kupambana?
uliua wangapi?nadhani wewe haupo Tanzania tuulize tuliokuwepo field siku hivyo
Sheikh Sharif Majini alikuwa kibaka?walikuwa wachache sana, kwa nini ukachome na kuiba mali ya mwenzako hujui alivyojibana na kupambana?
Remember the Fallen. Hatutawasahau kamwe.TUTAWAKUMBUKA DAIMA
MLALE SALAMA MASHUJAA WA TAIFA🫡🇹🇿
View attachment 3701073
Hii picha ilibeba hisia nyingi sana zinazoumiza mpaka leo nimejitahidi kukaa kimya moyo umeishia kububujikwa na machozi Rest in Paradise makamanda wote mlioamua kuipambania nchi.
Moja kati ya matukio hatarishi zaidi ya Serikali kwa walipa kodi wake tangia tupate uhuru cha ajabu viongozi wanataka tuisahau hii siku kana kwamba waliopoteza uhai walikuwa ni kuku na sio watanzania wenzetu .Anyway Karma is Real P alisema.
View attachment 3701074
Kiongozi! Acha kujibizana na hilo jinga, yapo mengi yanachokitetea hayajui, yapo kimkakati yanatuona Sisi hamnazoSheikh Sharif Majini alikuwa kibaka?
https://www.facebook.com/wajutie kwa sababu gani? acha ubwege basi hivi wasingepigwa risasi leo tungekuwa wapi? kweli nasali sana waliobaki mtaani wafage hata kwa ajali tu ila wangepatika najitolea kuwakata vichwa