Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
mijicho ya watu Na kuitwa
Wanapata Shida Gani
chief imekamilika kama hujaelewa rudia kusoma
Hii habari haijakamilika mbona?!
Wawe wanavaa ski tight zinazobana wasivae kama mtego wapate wanaume wenye pesa wawatongoze waambieWanawake wenye makalio makubwa wanapata shida sana kariakoo hasa wanapotembea mizigo ikitikisika
Tufanyaje ili jamii iwaone ni binadamu kama wengine
Mwenyezi mungu kawaaumba hivyo na maumbo makubwa lakini jamii inawanyanyasa sana