Tutazunguka kote na kuunda kila tume ila tutarudi pale pale

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hata turuke juu chini na tupige sarakasi za kila aina, zitaundwa tume za kila aina, kamati za amani, maridhiano na blah blah nyingine zote ila mwisho wa siku kama tutaka kuwa na nchi ya kidemokrasia, haki na utawala bora tutarudi tu kwenye tume za;
1. Jaji Warioba
2. Jaji Nyalali
3. Jaji Kisanga
 
Hata turuke juu chini na tupige sarakasi za kila aina, zitaundwa tume za kila aina, kamati za amani, maridhiano na blah blah nyingine zote ila mwisho wa siku kama tutaka kuwa na nchi ya kidemokrasia, haki na utawala bora tutarudi tu kwenye tume za;
1. Jaji Warioba
2.Jaji Nyalali
3.Jaji Kisanga
Kuna mizee mihafidhina huko CCM ndiyo inatuletea shida hawa ingekuwa huku kwetu Usukumani ni wa kupiga shoka moja tu kichwani kuondoa udhia.
 
Back
Top Bottom