Tutegemee ATCL kupata faida awamu hii ya 6?

Tutegemee ATCL kupata faida awamu hii ya 6?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Ndege moja imetoka Dodoma kwenda Dar iko na Samia, nyingine Iko Burundi na Waziri Mkuu Majaliwa nyingine Ipo Ufaransa Makamu Wa Rais Dkt. Mpango nyingine ndo iko na Mzee Kikwete. Kwenye mazishi Huko Zambia.

Nadhani Samia hapendi kuwepo kwa Makao Makuu ya Nchi Dodoma, Maana shughuli nyingi za Nchi amekuwa akizifanyia Dar![emoji3578]
 
Wacha tupigwe tu.

Maana hakuna jinsi.
 
Halafu badae wakiambiwa shirika limepata Hasara analembua macho tu [emoji3][emoji3]
 
Daaaah Hataki Kutembea na Gari Wanaruka Na Ndege za Atcl ambazo wanategemea Kupata Faida na Kujiendesha Yenyewe.
Kama unachosema ni kweli, basi hata hao viongozi washa give up.

Wanabembea na kuhadaa watu kwa maigizo tu.
 
Kama unachosema ni kweli, basi hata hao viongozi washa give up.

Wanabembea na kuhadaa watu kwa maigizo tu.
Mkuu Kiranga Ni Lini Umemuoa Huyo Mama Katoka Na Gari Kutoka Dar-Dom? Na Hata Juzi Alivyoenda Mwanza, Katoka Dar-Mza kwa Ndege Wakati Mzee Alikuwa Anatoka Dom-mwanza na Gari
 
Mkuu Kiranga Ni Lini Umemuoa Huyo Mama Katoka Na Gari Kutoka Dar-Dom? Na Hata Juzi Alivyoenda Mwanza, Katoka Dar-Mza kwa Ndege Wakati Mzee Alikuwa Anatoka Dom-mwanza na Gari
Anaweza kukuambia anaokoa muda.

Zoezi zima la kuhamisha mji mkuu kwenda Dodoma ni ujinga mtupu.
 
Mwili ulikuwa Dom
Ndege imefukuzia Dar
Dom kulikuwa natukio lakuaga
Mipango juu ya mipango
 
Mkuu Sio Kwamba kuhamia Dom kumeiboresha Sana Dom lakini pia Ni mhimu?
Kila mji wa Tanzania ulitakiwa uboreshwe na watu, kwa biashara kuongezeka.

Sasa ukitegemea kuhamisha mji mkuu ili kuendeleza miji, utahamisha mji mkuu mara ngapi?
 
I beg to be told if any of the past Presidents travelled by road extensively or even their immediate subordinates.
 
Acha watunwapasue anga maana Jiwe kuu la pembeni alinunua ndege bila kujua zitapiga route gani
 
Ndege moja imetoka Dodoma kwenda Dar iko na Samia, nyingine Iko Burundi na Waziri Mkuu Majaliwa nyingine Ipo Ufaransa Makamu Wa Rais Dkt. Mpango nyingine ndo iko na Mzee Kikwete. Kwenye mazishi Huko Zambia.

Nadhani Samia hapendi kuwepo kwa Makao Makuu ya Nchi Dodoma, Maana shughuli nyingi za Nchi amekuwa akizifanyia Dar![emoji3578]
Kwasasa tuwe wapole tuu.. Tuwekeze nguvu zetu kwenye katiba mpya, hii ndio muarobaini wa yote haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom