Tutegemee ATCL kupata faida awamu hii ya 6?

Tutegemee ATCL kupata faida awamu hii ya 6?

Vitu vilivyo tengenezwa kwa mikono ya mwanadamu hata vikikaa tu bila kutumika pia vinaharibika tu kwa Oxidation nk hivyo wameona wavitumie tu hata kwa safari zao binafsi.

Kiburi ni kitu kibaya sana, Magufuli hakuwa na sababu ya kununua hizo ndege ambazo sasa zimedhihirika kuwa (Expensive Toys).

Lakini cha kulaumu zaidi ni katiba ya hovyo tuliyonayo inayo mfanya rais atukuzwe hata anapounda genge la wauaji wanaowinda wenzao kama ngedere kwa nia ya kuwaua.
 
Kiburi ni kitu kibaya sana, Magufuli hakuwa na sababu ya kununua hizo ndege ambazo sasa zimedhihirika kuwa (Expensive Toys)..[emoji57][emoji57][emoji57]hakuna kitu kibaya kama mshamba anapojiona mjuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege moja imetoka Dodoma kwenda Dar iko na Samia, nyingine Iko Burundi na Waziri Mkuu Majaliwa nyingine Ipo Ufaransa Makamu Wa Rais Dkt. Mpango nyingine ndo iko na Mzee Kikwete. Kwenye mazishi Huko Zambia.

Nadhani Samia hapendi kuwepo kwa Makao Makuu ya Nchi Dodoma, Maana shughuli nyingi za Nchi amekuwa akizifanyia Dar![emoji3578]
Kama ndio hivyo kuna tatizo kubwa, nasikia kajimilisha Airbus moja, haitaki Gulfstream. Ngoja niweke akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom