Tutegemee ATCL kupata faida awamu hii ya 6?

Vitu vilivyo tengenezwa kwa mikono ya mwanadamu hata vikikaa tu bila kutumika pia vinaharibika tu kwa Oxidation nk hivyo wameona wavitumie tu hata kwa safari zao binafsi.

Kiburi ni kitu kibaya sana, Magufuli hakuwa na sababu ya kununua hizo ndege ambazo sasa zimedhihirika kuwa (Expensive Toys).

Lakini cha kulaumu zaidi ni katiba ya hovyo tuliyonayo inayo mfanya rais atukuzwe hata anapounda genge la wauaji wanaowinda wenzao kama ngedere kwa nia ya kuwaua.
 
Kiburi ni kitu kibaya sana, Magufuli hakuwa na sababu ya kununua hizo ndege ambazo sasa zimedhihirika kuwa (Expensive Toys)..[emoji57][emoji57][emoji57]hakuna kitu kibaya kama mshamba anapojiona mjuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndio hivyo kuna tatizo kubwa, nasikia kajimilisha Airbus moja, haitaki Gulfstream. Ngoja niweke akiba ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…