Daniel Limbu
Member
- Jun 12, 2016
- 8
- 2
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Kanenepa mara hii?Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Sasa mkuu hizi picha tunawezaje kuthibitisha ni ya siku za karibuni?!Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Sabaya ni binadamu kama walivyo wengine
Yaan bado mnataka aendelee kutengwa licha ya kutumikia adhabu zake?
Sabaya ni binadamu kama walivyo wengine
Yaan bado mnataka aendelee kutengwa licha ya kutumikia adhabu zake?
Yaani huyu jamaa sijui kama kuna mtu anamfikia kwenye serikali kwa sasa kwa upigaji dili.Majaliwa ntu wa dili
Kamuulize.....!Kwa nini hakwenda kumuona akiwa jela?
Hakuna anayejali!Tutegemee
Tutegemee ushirikiano
Nobody!Who cares?
Suti hiyo alikuwa nayo kipindi Cha mwendazake kabla haja ng'oa nangaKama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218tit
πππ¨Huu ushamba wenu wa kuwa na chuki jumuishi msiisambaze kwa watanzania wengine ...
Mnataka mkimchukia mtu kila mtu amchukie?
Mlipewa nafasi ya kumshughulikia kisheria, mmeshindwa...
Tulieni.
Tukikuuliza wamemuuwa nani ,utajibu nimesikia TU wameuwaTunaenda kuwa a mafia state, huku Makonda, huku Sabaya, wote wauaji makatili.
Waziri mkuu anaongea na jambazi comfortably kabisa. Tumepigwa