Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Kikao cha Waziri Mkuu na Lengai Ole Sabaya ni dalili tosha ya imani kubwa ambayo serikali inayo kwa vijana wachapajazi kama Sabaya.

Unaweza ukawaza au kusema chochote lakini Ole Sabaya ni miongoni mwa vijana ambao wana uwezo mkubwa wa kusimamia wanachokiamini na kikatendeka.

Binafsi namuona Sabaya sehemu nzuri zaidi ya aliyokuwa nayo.Tutarajie kurudi kama mkuu wa Mkoa,Mbunge 2025 na ikiwezekana Waziri katika serikali 2025-20230.Mungu ana mipango yake na ninaamini wakati wa mateso kwa Sabaya umeisha sasa.Ukweli umeushinda uovu na dhuluma.
 
Binafsi nawakubali sana Majaliwa, Makonda, Sabaya, Chalamila na Lukuvi.
 
Hiyo
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218tit
Suti hiyo alikuwa nayo kipindi Cha mwendazake kabla haja ng'oa nanga
 
Huu ushamba wenu wa kuwa na chuki jumuishi msiisambaze kwa watanzania wengine ...

Mnataka mkimchukia mtu kila mtu amchukie?

Mlipewa nafasi ya kumshughulikia kisheria, mmeshindwa...

Tulieni.
📌📌🔨
 
Back
Top Bottom