Tutegemee nini toka kwa Kocha Muargentina?

Ngoja tumpe Muda lakini nafsi inanambia TUMEPIGWA
 
Hakuna genius yeyote duniani mwenye time na habari za ndoa.

Ndoa ni kwa ajili ya watu wenye ordinary mind, huwezi kufanya makubwa halafu ndani unafuga mambo wa makelele, huo utulivu utapata SAA ngapi?
Hizo fikra za upinde.

Sifahamu kigezo cako cha "makubwa". Binafsi sina makubwa.
 
Nakuomba inbox nna jambo langu
 
Kwahio Nabi nae ni upinde maana huko nyuma hakua na history ya kukaa kwenye timu mwaka mzima, nmekuuliza atambagua nani amuache nani au unaongelea ubaguzi wa dini?
Achana nae huyo faiza ni mpuuzi tu, linapokuja suala lolote lile, yeye kwanza kabisa ni udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…