Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wamelaniwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sn sn.Yani inachekeshaaaNchi ina maziwa matatu makubwa, mito kibao eti bado wana uhaba wa maji na umeme, huyu mama viatu vya urais ni vikubwa kwake hilo halina ubishi. kikubwa anachoweza ni kuzurura kuomba omba misaada. Kazi kama kazi hawezi kabisa imemshinda......inakuwaje uamsho waachiwe eti Mbowe ndio awekwe ndani??? yale yale ya babu Seya...MBOWE SIO GAIDI.
ubarikiwe mkuu.Soma Mambo ya nyakati 2 7:15-16
Nikifunga mbingu ili mvua isinyeshe, nami nikiamuru panzi waile nchi, nami nikileta ugonjwa hatari miongoni mwa watu wangu, 14 na watu wangu ambao wameitwa kwa jina langu+ wakijinyenyekeza+ na kusali na kuutafuta uso wangu na kuacha njia zao ovu,+ ndipo nitakaposikia kutoka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao.+
Hivi mtu aliyepata madaraka miezi 8 tu anaweza pewa lawama kwa kukosekana kwa miundo mbinu ya maji na akaachwa aliyekaa madarakani miaka 5?Nchi ina maziwa matatu makubwa, mito kibao eti bado wana uhaba wa maji na umeme, huyu mama viatu vya urais ni vikubwa kwake hilo halina ubishi. kikubwa anachoweza ni kuzurura kuomba omba misaada. Kazi kama kazi hawezi kabisa imemshinda......inakuwaje uamsho waachiwe eti Mbowe ndio awekwe ndani??? yale yale ya babu Seya...MBOWE SIO GAIDI.
Abadan asilani! CCM taenda kubadilikia KaburiniCCM badilikeni
Nisiwe nahukumu ila acha ujumbe ujipambanue wenyewekwa hiyo ilikuwa kosa kubwa mno kuombea corona itoke Tanzania ilikuwa ni pure kukwepa uwajibikaji na kujificha kwenye imani kwa serikali ya awamu ya tano.
Kwani amedondoka kutoka Mars?Hivi mtu aliyepata madaraka miezi 8 tu anaweza pewa lawama kwa kukosekana kwa miundo mbinu ya maji na akaachwa aliyekaa madarakani miaka 5?
Acheni chuki kwa mama huyu.
CCM,CCM ,kila jambo na zama zakeCCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha.
Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali ni Kama ime-panic hajui la kufanya. Wananchi Wana hasira Sana juu ya upatikanaji wa maji na umeme.
CCM badala muwaze kuleta maendeleo, mnaangaika na upinzani, sasa mmegeukia maombi ya mvua[emoji1][emoji1] nani atasikiliza Sara zenu.
CCM badilikeni