Tutende wema; hili la umeme na maji ni pigo sana kwa CCM

Inashangaza sn sn.Yani inachekeshaaa
 
ubarikiwe mkuu.
 
Hivi mtu aliyepata madaraka miezi 8 tu anaweza pewa lawama kwa kukosekana kwa miundo mbinu ya maji na akaachwa aliyekaa madarakani miaka 5?
Acheni chuki kwa mama huyu.
 
kwa hiyo ilikuwa kosa kubwa mno kuombea corona itoke Tanzania ilikuwa ni pure kukwepa uwajibikaji na kujificha kwenye imani kwa serikali ya awamu ya tano.
Nisiwe nahukumu ila acha ujumbe ujipambanue wenyewe
 
Kwa hiyo Mbowe angeachiwa afanye atakavyo tusingekuwa na ukame? Mbowe ana usafi gani binfasi mbele za Mungu, maovu mangaoi kayafanya na yanajulikana?

Unafahamu baa la njaa la mwaka 1972 na 1981/82 wakati wa Nyerere? Je, Nyerere hakuwa makamilifu machoni kwenu?

Acheni kuingiza ujinga wa kisiasa kwenye majanga ya asili. Hakuna mwanasiasa anaye influence majanga ya asili hutokea kwa sababu zake!

Kenya kuna drought ya kutisha nako CCM inatawala? Ujinga mzigo!
 
CCM,CCM ,kila jambo na zama zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…