Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu mimi toka jana napiga pombe na nyama tuu kumshukuru Mungu muumba mbingu na ardhi.
Huwezi fanya ukatili kwa binadamu wenzio halafu raia Wema tukakaa kimya. Kuto onesha kuwa hupendezwi na ukatili huo ina maana unafurahishwa na vitendo hivyo.