K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 May 16, 2025 #1 Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo. Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo. Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 May 16, 2025 #2 Kamundu said: Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo. Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki Click to expand... Wapo wazalendo wengi kuliko unavyodahni, tatizo liko juu kule
Kamundu said: Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo. Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki Click to expand... Wapo wazalendo wengi kuliko unavyodahni, tatizo liko juu kule
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,394 Reaction score 16,128 May 16, 2025 #3 Mkuu wa majeshi anasema walitaka kumpindua mama halafu yeye anacheka cheka ,rushwaaaaaaa mbayaaaa
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 May 16, 2025 #4 Unafahamu supu ya kongoro ya ng’ombe ikizidi viungo inakuwa rost ya nguruwe aka mbuzi katoliki