hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Habarini ndugu zangu…kama kichwa cha habari kinavosema , nimefanikiwa kuitwa kwenye moja ya oral-interview za tutorial assistant kwenye chuo x.
Lengo la uzi huu ni kuuliza kwa mtu yeyote ambaye ashawaifanya interview adi level ya oral kwa position ya tutorial assistant kama kwenye izi interview unapewa random topic upresent au unaenda na topic yako ulipjichagulia wewe kuwa utaweza ipresent vizuri?
Ahsanteni na natanguliza shukrani kwa michango yenu.