Tutorial assistant

Tutorial assistant

FULELA

Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
13
Reaction score
3
Wadau kwa yeyote mwenye taarifa juu ya post za tutorial assistant chuo chochote tujulishane, its a post i real like,
 
Wadau kwa yeyote mwenye taarifa juu ya post za tutorial assistant chuo chochote tujulishane, its a post i real like,

Elimu yako haijakukomboa!!na haya ndio matatizo ya vyuo vyetu!!!yanazalisha watu wa ajabu kabisa!!nadhani ni mfumo wa kifisadi uliotufikisha huku!!!haya basi kuna nafasi ya tutorial assistant katika chuo cha Niejen University,idara ya lugha,somo la kibezktan!!!Elimu iwakomboe!be specific,nimehitimu kitu fulani,sehemu fulani,nimefanya hili na lile,natafuta nafasi ya TA katika perspective fulani!!!TOFAUTI NA UFISADI HUO HAPO JUU!!!
 
Wewe fani yako ni ipi? au unauwezo wa kufundisha fani zote? jaza details
 
Wadau kwa yeyote mwenye taarifa juu ya post za tutorial assistant chuo chochote tujulishane, its a post i real like,

Ukiona inakuchukua muda mrefu sana kupata ajira; jaribu kusoma MSc. Kuliko kupoteze muda mrefu mtaaani; ni bora uangalie opportunities zingine.

Check hii link.
Kila mwaka huwa kuna scholarships za bure hapo; na ukizingatia G.P.A yako ni nzuri.
Cheers

International master's programmes - NTNU
 
NINA GPA 3.9 NILISOMA BSc with education(biology na geography) Mlimani campus 2010, napendelea hasa biology

GPA haina dili ktk ajira kijana, ila tazama jobseastafrica.net kuna kazi kibao Bagamoyo university, siku nyingine usiwe mzembe kutafuta kazi
 
GPA haina dili ktk ajira kijana, ila tazama jobseastafrica.net kuna kazi kibao Bagamoyo university, siku nyingine usiwe mzembe kutafuta kazi

Duuuh zile kazi za bagamoyo zilitoka tangu mwaka jana... Eeebwanaee watu walishamaliza ule mchakato long tym... ''deadline inamata unajua''
 
Back
Top Bottom