The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Habarini
Kuna jambo jipya nimejifunza maishani mwangu juzi nilipomtembelea dadangu mmoja mcha mungu anae abudu kanisa la ufufuo na uzima( kwa Gwajima) ,nikiwa nimejawa na masihara na dhihaka nyingi juu ya mtumishi huyo wa mungu na wengine tele, binafsi nilipata habari ya mchungaji mmoja wa Kahama ambaye alikuwa akipeleka wanae wawili wadogo mwanza shule jirani akamuomba ampelekee binti yake pia kule mwanza wa kidato cha sita.
Alipofika naye Mwanza mjini binti aliomba ashuke kuwaona ndugu ake waliopo mwanza mchungaji akaachana naye kwa amani, baada ya wiki mchungaji alivamiwa na polisi kwa tuhuma za kumficha mwanafunzi huyo, magazeti yakajaa tuhuma hizo na mchungaji akatupwa lumande wiki bila dhamana, ghafla mwanafunzi akaripoti alipobanwa akakiri ukweli na mchungaji kuachiwa wakiwa watu wengi wamejivunia dhambi kubwa wasiyotaka itubu ,binti uyo nilikuwa nae kwa dadangu huyo .
USHAURI: uambiwapo juu ya tuhuma dhidi ya watumishi wa mungu ni vyema usichangie lolote badala yake waombee ,mungu alie wa haki ajua afanye nini iwapo ni kweli au si kweli ,ni afadhali ukajadili mahusiano ya diamond na wema kwa kuwa unauhakika kupitia wenyewe kukiri kuliko kuhusu watu hawa ambao mara nyingi hawajibu bali hushtaki kwa mungu na mungu ajibupo kila ulimi utawajibika.
ASANTE KWA KUSOMA MIMI NAMUOMBA MUNGU ANISAMEHE KWA LOLOTE NILILOWAHI NENA DHIDI YA MABO HAYO NA WEWE MUOMBE ATUSAME KWA NAFASI YAO.