Tutumie jina la nyimbo / instrumental unayoisikiliza ukiwa umejipumzisha

Tutumie jina la nyimbo / instrumental unayoisikiliza ukiwa umejipumzisha

Elton John - Sacrifice, Melody yake inanibembeleza na kuniliwaza sana. Nikiwa nimetulia huwa napenda kuiskiliza hiyo
 
Kuna instrumental ya Mozart ila nimeisahau jina. Ila kama uki "instal" Windows 7 utakutana nayo
 
FB_IMG_16467711788066669.jpg
 
Back
Top Bottom