Tutumie muda mwingi kumuombea Rais Samia kuliko kuimba mapambio

Tutumie muda mwingi kumuombea Rais Samia kuliko kuimba mapambio

Joined
Sep 24, 2024
Posts
6
Reaction score
3
Wakati wa utawala wa mzee JPM, watu wenye kujinasibu ni wazalendo, walitumia muda mwingi kumsifu, kumpa utukufu uliovuka UBINADAMU, kiasi kwamba akina Nape wakitabiri kuwa Edo angefia ikulu, ila JPM mpiga push up hafi 😭😭 that was blasphemy against the almighty God, 😭😭 conscious foolishness, unfortunately wote ni marehemu, lakini alianza mzima akafuata mgonjwa.

My take: Kwa Sisi wakristo tumetakiwa kutafuta kwanza ufalme wa Mungu, mengineyo ni ZIADA tu.

Hivyo, badala ya kumvisha umalaika mama kizimkazi, sasa tuchukue nafasi ya kumuombea kwa MUNGU aliye hai,awe na Afya njema ya akili, mwili na roho.

Atuongoze kwa HEKIMA ya kimungu.
Hizi sifa, hazimsaidii mama kujua uhalisia wa mambo mtaani hi.
Mungu wetu ni MUNGU mwenye wivu,hachangii utukufu na kiumbe aliyemuumba.

TUOMBEANE TUKIWA HAI ILI MUNGU ASEME NASI 🔥
 

Attachments

  • IMG_1726264689534.jpg
    IMG_1726264689534.jpg
    114.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom