GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake iwe angalau kwa 85% imekidhi matakwa ya Watanzania wengi wenye Changamoto za Kiuchumi na Kijamii.
Najua (tena nikiwa na uhakika) kuwa tayari kuna baadhi ya News Rooms (hasa Wahariri) zile Bahasha za Khaki zimeshapenyezwa ili Kuisifu Bajeti ya Kuuma sana na Kupuliza kidogo mpaka Kukufuru na kwamba kwa wale ambao watalitekeleza kwa Kiwango cha Kutukuka kabisa basi huenda katika Ulimwengu wa Uteuzi kwa Nafasi mbalimbali nao Wakakumbukwa ili Maisha yao yabadilike ghafla.