Tutumie mwezi huu wa Desemba kuombea nchi yetu

Msambwata

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
1,307
Reaction score
1,500
Wadau,

Ni December sasa. Na ni mwezi wenye matukio mengi sana makazini, mabarabarani na siasani. Naomba December hii tuchukue fursa kuombea taifa letu na tuombe msamaha kwa makosa ya kibinadamu tuliyowafanyia watanzania wenzetu kumwaga damu zao, kuvamia na kufungia vyombo vya habari, utekaji na kuuwa wasio na hatia na kuwatupa hovyo hovyo.

Tutumie fursa ya mwezi huu wa Noel na Mungu atatusamehe na kutuepushia laana.

Asanteni....

Blessings to you all out there
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…