Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
naona umepitia MLANGO wa kutokeaKatika kijiji cha Tella Mande kilichopo wilaya moshi vijijini kata ya old moshi, kaskazini mwa mji mdogo wa Kiboriloni upo mradi wa maji wa 900m ambao umesimama kwa hujuma ya mkandarasi na wahandisi wa maji. Walitandika mabomba undersize na wananchi walipopiga kelele wakayatoa na hawajaleta mengine na site hawaonekani.
Ofisi ya mradi iliyotarajiwa kugharimu 50m kama ilivyo kwenye andiko ndio kichekesho kama inavyoonekana hapa.
Wahusika wooote. Kimyaaaa.View attachment 1291311
Sent using Jamii Forums mobile app
Chakushangaza wanapayuka na kusema wanaomba malaika washuke wazime mitandao ya kijamii.Nimependa jinsi Mamlaka husika zilivyo respond fasta kuhusiana na hizi shutuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwaka wa kumi nafanya kazi za utawala katika elimu ya juu. Shida kubwa hizi kesi zinapotaka kushughulikiwa, wanafunzi huwa hawatoi ushirikiano wa kutosha kwa hofu ya kwamba huko mbeleni atakwamishwa. Lakini in reality hakuna mtu anaweza kukukwamisha kwasababu tu ulimreport. Kuna haja kubwa kwa wanafunzi na jamii kujengewa uwezo na kujiamini ili kutoa taarifa za matukio kama haya.
Kwenye ajira ni balaa tuWachunguzi wa hizi kesi usikute nao walipata ajira kwa njia hizo hizo
Mbona umepanikiMmmh, kuna watu watatumia hii kama mbinu ya kuwakomoa wabaya wao, ukimnyima mtu hela tu anatuma taarifa ya uingo juu yako, kuweni makini, na acheni kudemonise wanaume..
Mkuu Unaharibu ThreadAngepeleka huko PCCB wangemuomba rushwa ya ngono pia ili wayashughulikie madai yake, bora alivyosambaza kwenye mitandao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulioisoma Thread Ilijaa Uwazi Mtupu Tena Inatosha Kuufutilia Ule Tu
Mkuu Uzuri Wenyewemtawaonea wakufunzi bure uwezo wa dadazetu tunautambua, wengi wakifika vyuoni hawataki kusoma ni kupiga misele tu kuujuwa mji na sehemu za starehe.
Baada ya hapo ni kujirahisha kwa wakufunzi wawape maksi,badae ndo kuleta stori za rushwa za ngono. sikatai wapo wakufunzi wapuuzi sana ila wanafunzi wamekuwa wapuuzi zaidi kwa kujirahisi.
hata hawa machakubimbi ambayo hayasomi yakikamatwa yanajitetea mkufunzi ananitaka ndo maana kanikamata.
mkuu uchunguzi Tanzania, hapo watafanyia kazi majungu tu. wafanye kuangalia mwenendo wa ufaulu wa walalamikaji weng wao utakuta hawana uwezo kivile.Mkuu Uzuri Wenyewe
Majungu Hayatakuwa Na Nafasi Isipokuwa Wachunguzi Watajua Wenyewe Namna Kazi Zao Huwa
Kiujumla lectures upande Wa medical wapunguziwe mamlaka wamezidi jiona mungu mtu hasa linapokuja swala la clinical exams nakubali kabisa TCU pamoja na wizara husika lipo jambo la kufanya katika hiliMfumo huu upo Sana kwenye system ya medical school. Watoto wakike wanajikuta hawana option Ila kutoa rushwa za aina hiyo.
Madaktari wanao fundisha wanamamlaka makubwa Sana juu ya hatima ya ufaulu wa wanafunzi wao.
Daktari anaekufundisha ndio anakutungia mtihani, mtihani ipo ya aina si chini ya tano, Insha ndefu, Insha fupi, ya kutambua vitu, ya kujieleza Kwa Mwalimu wako na ya kumpima mgonjwa Kwa vitendo mbele ya Mwalimu.
Hivo basi ukiangalia mitihani ya ainahii inapima ufahamu na haina ushahidi ukiachilia ile miwili ya mwanzo na Mwalimu akiamua kukufelisha ni rahisi Sana na huna cha kumfanya.
Ikumbukwe kua si tuu walimu huomba rushwa ya ngono Bali hata mabinti wasiojiweza huwahonga ngono walimu ili wafaulishwe na matokeo yake ni kupata madaktari wa hovyo.
Kwa sababu hiyo sidhani Kama PCCB watatatua tatizo hili la kimfumo .
Nadhani wizara ya afya na TCU wabuni mfumo rafiki Kwa madaktari wanafunzi wa kike.
Ningeshauri madaktari wanafunzi wakike watahiniwe na walimu wa kike tena kutoka chuo tofauti na kile wanachosomea. Hili litamaliza tatizo hasa madaktari hawa wakiwa na uhakika kua walimu wao wa kiume hawana mamlaka juu Yao Kwa kutahiniwa
Nasikitika kusema kua hili limechelewa kuja na kwavile limefikishwa hapa naomba tutambue kua watoto wetu wanaliwa hasa, na haishii hapo na wengine wanaambukizwa magonjwa, wengine wanaathiriw kisaikolojia Kwa kuhonga bikra zao na mengine mengi..... Hivo basi tuwaunge mkono watoto wetu
.