Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

Oya bro wasamehe tu.
20250309_174428.jpg
 
Wengi walipata elimu kutoka kwa wamissionary.
Na mission nyingi za kianglikana, kayoliki na litheran. zilikua kaskazini na kanda ya ziwa.
Na hakukua na upinzani huko
 
Yesu angekuwa yupo kweli wazungu wasingetupa habari zake. Raha za Yesu wangezila wenyewe.
 
Alikuja kuupatanisha na nafasi ya Mungu, yaaani Mungu alikuwa ndani ya Yesu akiupatanisha ulimwengu na mfsi yake, ili tuhesabiwe haki.

Ni mzaliwa wa kwanza kati ya ndugu wengi.

Ni limbuko la maungamo yetu, ili ungamo lako lisikilizwe na Mungu, lazima lipite kwa Yesu.

Ana funguo za mauti na kuzima.
 
Damu yake iliyomwagika pale msalabani imefanyika upatanishi wa Mwanadamu na Mungu, kwa kwa kumkiri Yesu unaunganishwa kwenye ukoo wa Yesu, anasema,alikuwa kwao lakini hawakumpokea, waliompokea walifanyika kuwa wana wa Mungu
Thubutu
 
Alikuja kuupatanisha na nafasi ya Mungu, yaaani Mungu alikuwa ndani ya Yesu akiupatanisha ulimwengu na mfsi yake, ili tuhesabiwe haki.

Ni mzaliwa wa kwanza kati ya ndugu wengi.

Ni limbuko la maungamo yetu, ili ungamo lako lisikilizwe na Mungu, lazima lipite kwa Yesu.

Ana funguo za mauti na kuzima.
Wa nchekesha
 
Back
Top Bottom