Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #21
Wewe una undugu na unao-share nao D N A.Alikuja kuupatanisha na nafasi ya Mungu, yaaani Mungu alikuwa ndani ya Yesu akiupatanisha ulimwengu na mfsi yake, ili tuhesabiwe haki.
Ni mzaliwa wa kwanza kati ya ndugu wengi.
Ni limbuko la maungamo yetu, ili ungamo lako lisikilizwe na Mungu, lazima lipite kwa Yesu.
Ana funguo za mauti na kuzima.
Huna uhusiano wowote na Yesu na ndio maana mpaka sasa hajawahi kujibu maombi yako.