Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
-
- #21
Wewe una undugu na unao-share nao D N A.Alikuja kuupatanisha na nafasi ya Mungu, yaaani Mungu alikuwa ndani ya Yesu akiupatanisha ulimwengu na mfsi yake, ili tuhesabiwe haki.
Ni mzaliwa wa kwanza kati ya ndugu wengi.
Ni limbuko la maungamo yetu, ili ungamo lako lisikilizwe na Mungu, lazima lipite kwa Yesu.
Ana funguo za mauti na kuzima.
Akasome waebraniaWote binadamu., Wote watoto wa Mungu..
How?Wote binadamu., Wote watoto wa Mungu..
Aisee.Wote waliwahi kuwa watumwa
Sarekali tunaomba mtafutie vijana kazi. Kama huyu ujobless ni kitu kibaya sanaNauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
Unakuta mtu anashindwa kusafisha kaburi la Babu yake kuwa ni ibada za wafu.Utata
Kwamba ukiwa na imani unakuwa Ndugu yake Yesu Kristu?Haya mambo ni Imani
Inashangaza kuona mtu akipayuka usiku eti anamlilia Yesu Myahudi aje atatue shida zake. Akati ni Mmakonde wa kule Chitoholi.
Ila Wazungu wanajua kutunga story aiseeKama hujajipatanisha na YESU basi tambua kwamba umepata hasara kubwa sana
Uhusiano upo kwa wote wanaomuamini.
Hivi Kwa akili ya kawaida mtu akishabadilika na kuwa skeleton atawezaje kuwa na uhai tena?Mmetuchosha na hoja zenu kuhusu Yesu, jueni ya kuwa yule ni mwana wa Mungu. Mungu alimtoa ili kila mtu amuamini, asiyemuamini atahukumiwa
Ukisikia biblia inasema watu wa mtaifa au mataifa ni kutia ndani wazaramo na wote unaoweza kuwatajaNauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
mwili hufa, roho huishi, ishi kirohoHivi Kwa akili ya kawaida mtu akishabadilika na kuwa skeleton atawezaje kuwa na uhai tena?