Tutumie vyema kuchangia maada kwa kutafakati kwa kina na madhubuti.

herbsman

Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
81
Reaction score
57
Nasikitika kuona watu wengi wanachangia maada pasipo kupima uzito wa jambo wala kufanya tathmini yeyote ile na hili ni tatizo kubwa sana kwa sisi watanzania tunapenda kukurupuka sana na kujifanya wajuaji.ujinga ni mama wa busara na ili uweze kuwa na hekima na busara yatakiwa tuwe na subira na kupima mawazo kabla hatujawasilisha sisi ndo wazazi na wazeee wa baadaye.change today for the better tommorow sio lazima kila maada uchangie ukijiona haupo thabiti kuchangia kitu ambacho hakina uzito .tubadilike,
 
Unachokisema ni ukweli ndg yangu...binafsi huwa sipendezwi na tabia hii. Unakuta mtu anaweka tatzo watu wanajibu kwa masikhara na kejeli/kebehi juu. Mtu kasema "siku hz simuelewi mume wngu,ilikuwa hv ikawa hv" watu wanaanza aah tyr kuna nyumba ndg...mara ooh we unapigiwa. Unaweza kuona ni utani lkn fikiria ww una mtu wako wampenda sn afu mtu anakwambia ana kimada/unapigiwa. Unamfanya ajisikie vby na aumie sn. So km mtu ana jambo kaweka huna la maana la kuwweka pita tu.binafsi huwa km naona uzi cna cha kuweka huwa napita tu.


BTW....we differ in behaviour similar to our fingerprints.
 
Wakuu naomba kutofautiana kidogo
Uwasilishaji wa jambo kwa wengi umekuwa ni tofauti na matarajio ya watu. Kama ni tatizo au kama ni jambo la kuhitaji ushauri ukiliwasilisha kiutani ni lazima litajibiwa kiutani vile vile.
Twende mbele zaidi iwapo una jambo angalia namna ya kuliaddress mbele za watu na namna utakavyoliwasilisha kama kweli unahitaji upate majibu serious pia.
kama ukilileta kiutani ni lazima utajibiwa kiutani au kimasikhara pia
 
Kwa hiyo wewe ndo una akili kuliko watanzania wote?
Unaowadhania wako hivyo na wewe uko hivyo hivyo

Usinge-generalise wote
"BAADHI"

Ila wajinga wapo ili werevu muonekane.
 

NAkubaliana na herbsman. ni kweli kumekuwa na namna fulani ya ujibuji ambao hata anayejibu akijibiwa namna hiyo naamini hataweza furahia, please kama unafkiri huwezi kumshauri mtu,SI LAZIMA.waache wenye moyo wa kujibu washauri. si lazima tukuone na wewe eti umeandika,hata kama ni pointless,ili uonekane,SI JAMBO JEMA HATA KIDOGO
OFCOURSE!kuna wengine wanaleta mada za utani/ambazo si za msingi, nakubali kwa hilo,lakini wengi humu ndani huleta maada ambazo zinawatatiza,anaweza akashindwa kuielezea kama wengi wetu tunavyotaka, but isiwe sababu ya kumuandikia utumbo, eti mada gani, oooh hueleweki. Acha waliomuelewa wamshauri,kama hujamuelewa ni wewe---, isituinclude,wengine wanaweza kufikiri kuwa flani alimaanisha kitu flani ila ameshindwa tu kueleza vizuri
Harafu kitu kingine kinachonistaajabisha,nimejaribu kufuatilia,majibu ya namna hiyo, mengi hutoka kwa members ambao wana muda mrefu tu humu ndani. Utakuta mtu amejibu jambo la ajabu,ila ukiangalia,ni senior member,ameshatuma post karibu 20000, hapo ndo unashindwa kuamini,kuwa ilitakiwa atufundishe na sie wageni kuchangia kibusara,yeye ndo destroyer
KITU KINGINE,UTAKUTA IMETOLEWA MAADA,MTU ANAHITAJI USHAURI,THEN WATU BAADA YA KUMSHAURI,WANAANZA KUSALIMIANA,oooh mara flani mbona huonekani,mara nilikuona jana umelewa, aisseee! SI UUNGWANA HATA KIDOGO,mtafute kwa simu,muandikie meseji kwa inbox yake au mtafute kwa namna nyingine na si kukosa ustaarabu na kuharibu maada,ili tu uonekane umemsalimia flani,BADILIKA BWANAAAAA!
 
nakubaliana na ww mkuu hua ni kweli inakera sana
 
Una mawazo mazuri ila kauli zako ndo umeonyesha wewe ndo mtanzania halisi na umekuruka kabisaaaaaaa....jitahidi wakati mwingine uje na kauli na ushauri wa kistaarabu na si kwa maneno km niliyoya BOLD. Tafakari kabla ya kuandika au kusema.
 
Kwa hiyo wewe ndo una akili kuliko watanzania wote?
Unaowadhania wako hivyo na wewe uko hivyo hivyo
Ila wajinga wapo ili werevu muonekane.
Mi sisemi neno Kongosho...jamaa alikuwa na mawazo mazuri ila kauli ndo mbaya.Tumuombee
 
humu ndani kuna watu tofauti, na aina tofauti ya uandishi, mwingine hata akiandika kwa kujoke ndani kumebeba ujumbe.

Hata ukipost tatizo usitegemee aina ya mwitiko unaoutaka,

kwa ufupi watu hawawezi kuwa vile unavyotaka wawe bali wachukulie kama walivyo!
 

hata kwenye pumba kuna kitu bado tunajifunza..........................ni vyema ukatoa mifano ili tuweze angalau hapa kuanza kujifunza namna ya kutafakari.....................bila mfano hai umetunyima taarifa za kutosha kuanza hili zoezi la matumizi ya zana za upembuzi yakinifu...........
 
Mods muvuzisha hii jukwaa la malalamiko nikamwage mapwenti huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…