NAkubaliana na herbsman. ni kweli kumekuwa na namna fulani ya ujibuji ambao hata anayejibu akijibiwa namna hiyo naamini hataweza furahia, please kama unafkiri huwezi kumshauri mtu,SI LAZIMA.waache wenye moyo wa kujibu washauri. si lazima tukuone na wewe eti umeandika,hata kama ni pointless,ili uonekane,SI JAMBO JEMA HATA KIDOGO
OFCOURSE!kuna wengine wanaleta mada za utani/ambazo si za msingi, nakubali kwa hilo,lakini wengi humu ndani huleta maada ambazo zinawatatiza,anaweza akashindwa kuielezea kama wengi wetu tunavyotaka, but isiwe sababu ya kumuandikia utumbo, eti mada gani, oooh hueleweki. Acha waliomuelewa wamshauri,kama hujamuelewa ni wewe---, isituinclude,wengine wanaweza kufikiri kuwa flani alimaanisha kitu flani ila ameshindwa tu kueleza vizuri
Harafu kitu kingine kinachonistaajabisha,nimejaribu kufuatilia,majibu ya namna hiyo, mengi hutoka kwa members ambao wana muda mrefu tu humu ndani. Utakuta mtu amejibu jambo la ajabu,ila ukiangalia,ni senior member,ameshatuma post karibu 20000, hapo ndo unashindwa kuamini,kuwa ilitakiwa atufundishe na sie wageni kuchangia kibusara,yeye ndo destroyer
KITU KINGINE,UTAKUTA IMETOLEWA MAADA,MTU ANAHITAJI USHAURI,THEN WATU BAADA YA KUMSHAURI,WANAANZA KUSALIMIANA,oooh mara flani mbona huonekani,mara nilikuona jana umelewa, aisseee! SI UUNGWANA HATA KIDOGO,mtafute kwa simu,muandikie meseji kwa inbox yake au mtafute kwa namna nyingine na si kukosa ustaarabu na kuharibu maada,ili tu uonekane umemsalimia flani,BADILIKA BWANAAAAA!