C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,074 Reaction score 3,743 Jun 18, 2013 #1 Huu wimbo ukiusikiliza haumgusi Ruge wala Kusaga wala Mwana Fa kuna mtu mwingine ambaye unamgisa yule mtu wa tatu ambaue jay d kasema alimsamehe Kwa intelijensia yangu kila nikichekecha hivi kama naiona sura ya GERRARD hivi au nyie mnasemaje?
Huu wimbo ukiusikiliza haumgusi Ruge wala Kusaga wala Mwana Fa kuna mtu mwingine ambaye unamgisa yule mtu wa tatu ambaue jay d kasema alimsamehe Kwa intelijensia yangu kila nikichekecha hivi kama naiona sura ya GERRARD hivi au nyie mnasemaje?
Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,782 Reaction score 3,199 Jun 18, 2013 #2 Upo kwenye akili yangu mana uyu jamaa anapendaga sana ofa
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 475 Jun 18, 2013 #3 Ndiyo huyohuyo dah!
Ngaliba Dume JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 1,710 Reaction score 3,681 Jun 18, 2013 #4 Ha ha ha ha Hando,hajaoa,hajulikani kwake..tapelitapeli,alienda clouds na Certificate ya IT,mara kaibukia utangazaji..KARUBANDIKA wa Tanzania na kizazi kipya
Ha ha ha ha Hando,hajaoa,hajulikani kwake..tapelitapeli,alienda clouds na Certificate ya IT,mara kaibukia utangazaji..KARUBANDIKA wa Tanzania na kizazi kipya
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Jun 18, 2013 #5 anaongeaga hadi anapitiliza Yahaya unaishi wapi!!!!!!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Jun 18, 2013 #6 yahaya huyo ni tapeli afu kama anajisikia mara yeye srikali,mara yeye uslama wa taifa kwani yahaya kazi yake nini?hahaha
yahaya huyo ni tapeli afu kama anajisikia mara yeye srikali,mara yeye uslama wa taifa kwani yahaya kazi yake nini?hahaha
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Jun 18, 2013 #7 Wivu tu unawasumbua. Heri yake yeye anapo pa kula,nyie mpaka ugali wa kengele. Acheni wivu kwa mwanaume mwenzenu.
Wivu tu unawasumbua. Heri yake yeye anapo pa kula,nyie mpaka ugali wa kengele. Acheni wivu kwa mwanaume mwenzenu.
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,796 Jun 18, 2013 #8 Madame B said: Wivu tu unawasumbua. Heri yake yeye anapo pa kula,nyie mpaka ugali wa kengele. Acheni wivu kwa mwanaume mwenzenu. Click to expand... naona unapiga jeramba baada ya ban ila jua ugali wa kengele pia ni ugali ok
Madame B said: Wivu tu unawasumbua. Heri yake yeye anapo pa kula,nyie mpaka ugali wa kengele. Acheni wivu kwa mwanaume mwenzenu. Click to expand... naona unapiga jeramba baada ya ban ila jua ugali wa kengele pia ni ugali ok
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Jun 18, 2013 #9 bily said: naona unapiga jeramba baada ya ban ila jua ugali wa kengele pia ni ugali ok Click to expand... Ndo mana yake. Chezea Ban weye, talala hoiiii!
bily said: naona unapiga jeramba baada ya ban ila jua ugali wa kengele pia ni ugali ok Click to expand... Ndo mana yake. Chezea Ban weye, talala hoiiii!
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Jun 18, 2013 #10 Hiyo nyimbo kuipa jina la kiislamu ameanza kuleta maneno huku mtaani
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Jun 18, 2013 #11 Anazungumzia lile jini lililokuwa linamgegeda.
U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,424 Reaction score 4,954 Jun 18, 2013 #12 Gadner amechoka kuogelea, anagonga vibinti balaa. Sijui ndo anamlipiza jide bada ya anakonda kut wa na kredo mwaipopo
Gadner amechoka kuogelea, anagonga vibinti balaa. Sijui ndo anamlipiza jide bada ya anakonda kut wa na kredo mwaipopo
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,591 Reaction score 1,719 Jun 18, 2013 #13 Kama na wewe unatamani kagongwe na gadner.yakwako si mnato?