Tuuchambue wimbo wa YAHAYA kumjua mlengwa

Tuuchambue wimbo wa YAHAYA kumjua mlengwa

Status
Not open for further replies.

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
Huu wimbo ukiusikiliza haumgusi Ruge wala Kusaga wala Mwana Fa kuna mtu mwingine ambaye unamgisa yule mtu wa tatu ambaue jay d kasema alimsamehe

Kwa intelijensia yangu kila nikichekecha hivi kama naiona sura ya GERRARD hivi au nyie mnasemaje?
 
Upo kwenye akili yangu mana uyu jamaa anapendaga sana ofa
 
Ha ha ha ha Hando,hajaoa,hajulikani kwake..tapelitapeli,alienda clouds na Certificate ya IT,mara kaibukia utangazaji..KARUBANDIKA wa Tanzania na kizazi kipya
 
yahaya huyo ni tapeli afu kama anajisikia mara yeye srikali,mara yeye uslama wa taifa kwani yahaya kazi yake nini?hahaha
 
Wivu tu unawasumbua.
Heri yake yeye anapo pa kula,nyie mpaka ugali wa kengele.
Acheni wivu kwa mwanaume mwenzenu.
 
Wivu tu unawasumbua.
Heri yake yeye anapo pa kula,nyie mpaka ugali wa kengele.
Acheni wivu kwa mwanaume mwenzenu.

naona unapiga jeramba baada ya ban ila jua ugali wa kengele pia ni ugali ok
 
Hiyo nyimbo kuipa jina la kiislamu ameanza kuleta maneno huku mtaani
 
Anazungumzia lile jini lililokuwa linamgegeda.
 
Gadner amechoka kuogelea, anagonga vibinti balaa. Sijui ndo anamlipiza jide bada ya anakonda kut wa na kredo mwaipopo
 
Kama na wewe unatamani kagongwe na gadner.yakwako si mnato?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom