FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa zimeshawashwa mashine sita kati ya tisa zinazotarajiwa.
Hii ni hatua kubwa tumepiga kama nchi na ni vizuri tukaacha vizazi vijavyo nao kuutambua mchango mkubwa wa John Pombe Magufuli.
Na kwa kuwa yeye ndiye aliyependekeza jina la Nyerere basi nasi tuongeze hapo jina lake pia bila kuondoka like la Nyerere kama ishara ya kuutambua mchango wake mkubwa.Natoa hoja.