Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Kutoka Newcastle mpaka Yanga, kweli Uto...mmeokota dodo chini ya mpera.
Teh teh 🤣🤣 redio unazingua...Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Na uko serious kabisa kuwa umetoa hoja,dah kweli afya ya akili ni shida sana kwa wana uto
Mkuu anaechezea shilingi ni yule anaesajili mchezaji mwenye magoli 2 mechi 48 misimu miwili halafu anakwambia ubingwa wa klabu bingwa Afrika unanukia jangwaniNyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
Aliyekwambia mm utopolo nani?Kama unaona siyo poa kuhoji juu ya usajili Kabla ligi haijaanza , kwanini utopolo mnasema simba kapigwa kwa kyombo?
Kile chuo cha kuzalisha mataahira kule Utopolo kinapiga kazi sana, wahitimu wake wanaonyesha umahiri mkubwa katika taaluma yao hapa jukwaaniNineamini JF siku hizi kuna mataahira mengi
Newcastle ya Tandale Kwa MtogoleTimu inasajili Asec na Newcastle, nyingine inasajili Mbeya kwanza halafu inataka ishindane.
Unatwanga tu maji kwenye kinu! Kamwe hawatakuelewa. Ukiona mpaka Mwenyekiti wao wa zamani aliwaita mbumbumbu, basi ujue shughuli ipo.Nanukuu Morrison goli 0 msimu 1" mwisho wa kunukuu.
Naomba nizungumzie upande wa michezo ya kimataifa msimu wa 2021/2022 kwa upande wa Simba, ilibebwa pakubwa sana na mchezaji Morrison.
Mechi ya Galaxy vs Simba magoli mawili ya Simba yalipatikana kwa mchango wa Morrison.
Mechi ya marudiano kwa Mkapa Simba walipata goli moja lilipatikana kwa mchango wa Morrison.
Mechi iliyofuatia ilikuwa dhidi ya red arrow, Simba walipata ushindi wa magoli matatu yaliyotokana ya jitihada za Morrison.
Mechi za makundi, Simba walianza na Mimosa na Morrison alichangia ushindi wa Simba. Mechi ya Berkane na USGN kwa Mkapa ni Morrison pia anahusika kwenye magoli ya Simba.
Mechi ya away dhidi ya USGN bila goli alilosawazisha Morrison Simba wasingefuzu robo fainali kwasababu wangemaliza wakiwa na point 9 tu.
Halafu Biligumana hakusajiliwa Yanga kwaajili ya kufunga kwasababu sio striker bali kiungo mkabaji.
angechezaje wakati alikuwa majeruhiHabibu kyombo alienda mamelody 2019 na hakucheza mchezo hata mmoja PSL