Mbao Tanzania
Senior Member
- May 31, 2021
- 170
- 215
Hivi mikaratusi ndio plywood?Nataka kujua,Mbao za Mkaratusi zinafaa kwa milango au fremu,na kama hazifai kwanini?
Mbao za mikaratusi zinafaa kutengenezea fremu za milango, madirisha na kadhalika.Nataka kujua,Mbao za Mkaratusi zinafaa kwa milango au fremu,na kama hazifai kwanini?
Mbao iliyopitia mchakato wa dawa (treated) huwa zinachemshwa na kubadilika rangi mpaka ndani ya mbao husika.Unawezaje kutofautisha mbao ambayo ni imepitia process zote kuwa treated (treated timber) na fake?
Kwa nini zinapinda au kuachana na kuacha uwazi, zikitumiwa kutengeneza milango, je, ni mbao zipi zinafaa kutengeneza milango na samani mbalimbali kwa ubora zaidi ya mninga.Mbao za mikaratusi zinafaa kutengenezea fremu za milango, madirisha na kadhalika.
Hapana hizo zinaitwa Eucalyptus...Hivi mikaratusi ndio plywood?
Hapa na mimi ningependa kujua,na kama zina hii tabia zinawezaje kufaa kwa kutengenezea fremu za milango au madirisha...?Kwa nini zinapinda au kuachana na kuacha uwazi, zikitumiwa kutengeneza milango, je, ni mbao zipi zinafaa kutengeneza milango na samani mbalimbali kwa ubora zaidi ya mninga..
Kwa kujibu hili haraka haraka:Je naweza kuezeka Nyumba yangu kwa kutumia mbao za Mninga?
Wewe lazima utakuwa multi-millionea, kuezeka nyumba kwa kutumia mbao za mninga? Unajua bei ya mninga?Je naweza kuezeka Nyumba yangu kwa kutumia mbao za Mninga?
Wadudu korofi hususan mchwa wanazimaliza haraka sana mbao ambazo hazijawa treated.Zipi athari za kutumia untreated kwa kuezekea?
Tutakuja na details za kutosha juu ya hili. Acha tukusanye data za uhakika ndugu, tutakujibu mapema iwezekanavyo.Mnaweza mkajua mbao zinazopatikana kwa wingi?
Mfano mkaratusi unapatikana wapi kwa wingi, mninga, mkongo, mtondoro mpodo, mvule, mkangazi,mkarati, msederea, na Bei zake huko zinakopatikana.
Pia vibali vya kununua kusafirisha na kuuza mbao mnaweza kujua namna vinavyopatikana? Natanguliza shukrani.
Je naweza kuezeka Nyumba yangu kwa kutumia mbao za Mninga?
Ni kutokana na asili yake.Kwa nini zinapinda au kuachana na kuacha uwazi, zikitumiwa kutengeneza milango, je, ni mbao zipi zinafaa kutengeneza milango na samani mbalimbali kwa ubora zaidi ya mninga..
Hapana mimi sio Tajiri hivyo, ila napenda vitu imara tu bila kujali gharama.Wewe lazima utakuwa multi-millionea, kuezeka nyumba kwa kutumia mbao za mninga? Unajua bei ya mninga?
Don't worry, siku hizi zipo zile za steel kwa kuezeka badala ya mbao. Nazo ni gharama lakini naona ni very long termHapana mimi sio Tajiri hivyo,ila napenda vitu imara tu bila kujali gharama.