Car4Sale Tuulize Namna ya Kuagiza Gari Bora Kwa Bei Nafuu Kutoka Japan, U.k, Dubai, Singapore

Ninapokuja kwenu mnasimamia procesa zote mpk gari kulitoa bandarini na kunikabidhi au mnasaidia kuagiza tu ??

Swali la pili je mnagari Za dollar kuanzia 2100 jumla na shiping kama mnazo tunaomba mzilist hapa
 

Mkuu nimekuuliza kuhusu ist old ya 2004-2006 mpk dar port shillings ngap?
 
Vifaa vinapatikana.

Kama mtu anahitaji?
 
IST 2002 price 12.6m
IST 2003/4 PRICE 13M
IST 2005/6 PRICE 14M

HIZI BEI NI MPAKA USAJILI (INAKUWA MKONONI KWAKO READY TO HIT THE ROAD)
Mkuu naomba utusaidie hapa, mbona watu wanasema gari kutoka Singapore zina shida sana ni mbovu wewe Kama muagizaji hii hoja ikoje?
 
Lakini pia niliuliza kwani Nini gari kutoka Singapore zinasemwa sio nzuri je kwa uzoefu wako wewe unasemaje juu ya hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…