Car4Sale Tuulize Namna ya Kuagiza Gari Bora Kwa Bei Nafuu Kutoka Japan, U.k, Dubai, Singapore

Car4Sale Tuulize Namna ya Kuagiza Gari Bora Kwa Bei Nafuu Kutoka Japan, U.k, Dubai, Singapore

Nikiwa nanunua gari najuaje hizo auction grades? Na nasikia huko ughaibuni gari uaweza rudishwa km nyuma
hizi gari zinauzwa kutokana na ubora . (katika mnada wa magari , bei hutokana na ubora)
sasa ile kweli kabisa , sisi watanzania kutokana na vipato vyetu huwa tunahitaji gari yenye bei kutokana na mifuko yetu , na hapa ndio shida inaanzia.
maana utakapopewa gari zuri ila bei ikawa juu , utahitaji lenye bei ya chini na hapa ndio unauziwa gari yenye ubora wa chini. kwa bei ya kutafuta sanaa

katika mnada wa magari kuna grade kama hivi . ( hapa naomba niweke katika lugha ya malkia )

So What Are The Major Japanese Car Auction Grades?​

Grades 7, 8, 9 or S – These refer to a brand new car with only delivery mileage.

Grade 6 – This grade can sometimes be equivalent to the grades above, but sometimes will have a little more than just delivery mileage.

Grade 5 – A vehicle in superb condition, very close to brand new standard, but with several thousand kilometers on the odometer.

Grade 4.5 – A vehicle in excellent condition, but with up to a few tens of thousands of kilometers on the clock.

Grade 4 – A good, solid vehicle usually having less than 100,000 km on the clock.

Grade 3.5 – A higher mileage vehicle or one which will need some work to clean up. but good condition

Grade 3 – Either a very high mileage vehicle or one which is rough.

Grade 2 – A very rough vehicle usually with corrosion holes triggering this low grade.

Grade 1 – Usually a heavily modified vehicle which has had a different engine or transmission fitted, or which has an aftermarket turbo charger.
Other possibilities are flood or fire extinguisher damage.

Grade R, RA, A and 0 (zero) – These are vehicles that have had some degree of accident repairs.
At one end of the spectrum the repairs will be a single panel replaced due a minor parking ding,
whereas at the other extreme there are vehicles that must have rolled in an accident which have had almost every panel replaced.

Ungraded vehicles (***) – These are sold as-is by the auction with no or almost no information about their condition.
As such they are very risky and can result in escalating additional costs if they cannot drive or move.

na shida ni kuwa hizi auction grades ni kampuni chache sana watakuonyesha
 
Nissan note ya Bei ndogo mnaiuza kiasi gani
 
Kuanza na kuanza mnaelezea kuwa wafanyakazi wenu sio waaminifu wanaweza kula hela ya mteja! Imenivunja nguvu kusoma
 
Helo mkuu , hakuna sehemu ambayo tumesema wafanyakazi wetu sio waaminifu ,
Bali tumesema pesa itumwe kwenye akauti zetu za kampuni na sio kuwapatia wafanyakazi kwa namna yoyote ile,
Hii ni katika kukulinda wewe mteja wetu na pia kulinda picha ya kampuni,
Maana kuna baadhi ya makampuni yamepitia swala hili, na na mara nyingi mteja ndio anapata hasara zaidi.
Hivo tunatoa tahadhari ili kulinda pesa yako ,
Jaribu kupitia kampuni zote za uagizaji magari utakutana na tangazo kama hilo mkuu.

Hivo tunakujali sana mteja wetu pamoja na pesa zako ziwe katika mikono salama
Tunashukuru kutujali. Unajua unaweza ukawa na maelezo mazuri ila namna ya kuyatoa ukawa unatoa picha nyingine kabisa. Kwanza msingeweka kama habari kuu ya mwanzoni. Pili mngetoa tu maelezo kuwa kwa urahisi na huduma ya haraka pesa weka kwenye account hii, bila kuweka msisitizo mkubwa. Mlivyoandika ni as if kuna tukio lishatokea kwenu.
Asante pia kujibu post yangu. Inaonyesha mnafuatilia maoni na mnajibu kwa wakati.
Shida sasa hela ya kununua gari sina 🤣 🤣 Inshalah Mungu atajaalia wakati ujao
 
View attachment 1803864

KARIBU AUTOMASI UAGIZE GARI
LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU
[emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184]

2015 NISSAN JUKE
Automatic | Fuel : Petrol 1490cc
Drive 2WD | Seats 5

[emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184]
GHARAMA ZA GARI TZs 28mil.
Malipo Ya Kwanza :TZs 17mil
Malipo Ya Pili :TZs 11mil

[emoji91][emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184]
MAWASILIANO YETU
[emoji338][emoji336]: 0767 328 063 | 0738 929 380
[emoji336] : Jaa WhatsAppissa

[emoji184] OFFICE ZETU ZIPO GHOROFA YA 5
[emoji184] JENGO LA SALAMANDER TOWER( GSM )
[emoji184] SAMORA AVENUE & MKWEPU

[emoji320] AGIZA NASI LEO UPATE [emoji320]
[emoji91] Punguzo kabambe
[emoji91] Fire extinguisher bure
[emoji91] Bima ya mwaka mzima bure
NB: Vigezo Vitazingatiwa.

View attachment 1803867

View attachment 1803868

View attachment 1803870

View attachment 1803871

View attachment 1803872

View attachment 1803873

View attachment 1803874
Hii chuma nimeielewa ila tatizo rangi nyeupe siizipendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jamaa inaonekana wapo vizuri, na hao wajapan. bora muongeze ushindani kwa sbt na beforward. hongereni sana, kuna siku nitafika ofisini tufanye biashara.
 
hawa jamaa inaonekana wapo vizuri, na hao wajapan. bora muongeze ushindani kwa sbt na beforward. hongereni sana, kuna siku nitafika ofisini tufanye biashara.
karibu sana mkuu , unaweza kututembelea wakati wowote ,
Sio lazima ununue gari , hata windowshopping imekaa vyema,
Pia tuna gari za kuagiza na pia ambazo zipo Tanzania
karibuni sana wadau wote
 
Wazee mko vema sana
In sha Allah...nipo njiani kuwafikia siku moja
 
Back
Top Bottom