Car4Sale Tuulize Namna ya Kuagiza Gari Bora Kwa Bei Nafuu Kutoka Japan, U.k, Dubai, Singapore

Nikiwa nanunua gari najuaje hizo auction grades? Na nasikia huko ughaibuni gari uaweza rudishwa km nyuma
 
Nissan note ya Bei ndogo mnaiuza kiasi gani
 
Kuanza na kuanza mnaelezea kuwa wafanyakazi wenu sio waaminifu wanaweza kula hela ya mteja! Imenivunja nguvu kusoma
 
Tunashukuru kutujali. Unajua unaweza ukawa na maelezo mazuri ila namna ya kuyatoa ukawa unatoa picha nyingine kabisa. Kwanza msingeweka kama habari kuu ya mwanzoni. Pili mngetoa tu maelezo kuwa kwa urahisi na huduma ya haraka pesa weka kwenye account hii, bila kuweka msisitizo mkubwa. Mlivyoandika ni as if kuna tukio lishatokea kwenu.
Asante pia kujibu post yangu. Inaonyesha mnafuatilia maoni na mnajibu kwa wakati.
Shida sasa hela ya kununua gari sina 🤣 🤣 Inshalah Mungu atajaalia wakati ujao
 
Hii chuma nimeielewa ila tatizo rangi nyeupe siizipendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jamaa inaonekana wapo vizuri, na hao wajapan. bora muongeze ushindani kwa sbt na beforward. hongereni sana, kuna siku nitafika ofisini tufanye biashara.
 
hawa jamaa inaonekana wapo vizuri, na hao wajapan. bora muongeze ushindani kwa sbt na beforward. hongereni sana, kuna siku nitafika ofisini tufanye biashara.
karibu sana mkuu , unaweza kututembelea wakati wowote ,
Sio lazima ununue gari , hata windowshopping imekaa vyema,
Pia tuna gari za kuagiza na pia ambazo zipo Tanzania
karibuni sana wadau wote
 
Wazee mko vema sana
In sha Allah...nipo njiani kuwafikia siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…