Car4Sale Tuulize Namna ya Kuagiza Gari Bora Kwa Bei Nafuu Kutoka Japan, U.k, Dubai, Singapore

mkuu awamu ya kwanza nalipia bei gani......na malipo ya pili yanatakiwa baada ya muda gani..thanks
 
Nahitaji Ford F-150 ya mwaka kati ya 2016 na 2018. Angalia kama zinapatikana Dubai unitume PM kuniarifu gharama na taratibu zake.
 
Matapeli tu hamna lolote
Mkuu umefika unaweza ukaelezea umetapeliwa kitu gani na kampuni yetu .??
AU una ushahidi na je umeenda sehemu husika kuripoti utapeli wa kampuni hii ??
Tafadhali sana kabla ya kusema jambo jaribu kuwa na busara hata kidogo.

KARIBU SANA OFFISINI KWETU AU TUPIGIE SIMU IKIWA UNA JAMBO LA KUULIZA .

KARIBUNI SANA AUTOMASI COMPANY LIMITED
 


.
Tupigie Simu | Text Message.
0767 328 063 | 0767 328 063
.
🍂SO FRESH,SO CLEAN, KATI YA MAGARI
YA WATEJA WETU YALIYOWASILI LEO

KARIBU TUKUAGIZIE MAGARI MAZURI, BEI NAFUU,
UBORA WA VIWANGO VYA JUU
💎
Bajeti Yako Inatosha Kupata Gari Ya Ndoto Yako.
Direct Kutoka minada ya Japan, U.K & Singapore
💎
Ubora Wa Huduma (Corporate Treatment) Na Gari
Lako Ni Zingatio Namba Moja Kwetu.
💎
Huduma Zetu Ni Shirikishi Ambapo Utapata Taarifa
Zote Mpaka Utakapo Pokea Gari Lako.

💎Malipo Ni Kwa Awamu 2,
🍂
Tumeongeza Offer kwa Wateja watakao Agiza Gari
Kuanzia 15th NOVEMBER 2021

1.FULL TINTED
2.FULL CAR RIBIT

BIMA,FIRE NA TRIANGLE offer inaendelea

Tupigie Simu | Text Message.
0767 328 063 | 0767 328 063
🍂
Office Location | Salamander Tower( Gsm
Mall) |Samora Avenue ,Posta Mpya | Dar Es Salaam.







 
Huyo Masokwe ni nani tena kwenye kampuni yenu? Nae ni muhusika upande wa marketing? Mbona anatumia fake ID, atleast wewe unatumia jina la kampuni.
 
Mnaagiza wenyewe? Au nachagua gari ninayoitaka ndio mnaagiza?
 
Kwenye tafsiri ya kiswahili Kuna kisehemu umeacha. Embu tafsiri ile sehemu ya mwisho, kuhusu haki ya kucancel ongoing deal.
 
Hii takataka kwa 59 million?
 
Rekebisheni motto yenu: ni "High Quality, Reliable & SPEEDY"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…