Car4Sale Tuulize Namna ya Kuagiza Gari Bora Kwa Bei Nafuu Kutoka Japan, U.k, Dubai, Singapore

Asante kwa hiyo bei, ila ni nzuri kwa familia hasa sisi wenye watoto wengi. Siti nane hapo tunakaa mimi, wife, watoto wangu 5 na house girl tumeshajaa.
 
Hiyo VOLKSWAGEN TIGUAN kuna yenye cc chini ya hiyo 1980 ya mwaka 2010
 
Uaminifu wenu Upoje siku hizi Usanii umepitiliza kwenye hizi kampuni,Nikikuta gari niliyoagiza ni tofauti au kuna vifaa sijavikuta kuna utaratibu gani au ndio imekula kwangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…