mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Athuman Idd ChujiHaruna Moshi 'Boban'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Athuman Idd ChujiHaruna Moshi 'Boban'
Huyu mwamba achana naeJoy Buttorn
WC 2006, aliupiga mwingi sana golini.golini akae jens lehmann..
NELLY HIGUILTA Hana mpinzani kwenye nafasi hiyo ya golini.golini akae jens lehmann..
Ricardo kakaTukitoka hapo tutengeneze na ya wapole au watoto wa Mungu. Me naanza na
Messi
Ronaldinho
Sadio Mane
Bebeto
BallotelHebu tupange first eleven ya watukutu,vurugu ,ambao hawakosi red card na kucheza rafu,mi naanza na:-
SERGIO RAMOS
PEPE
LUIS SUAREZ
DIEGO COSTA
IBRAHIMOVIC
Bado kipa mtukutu hajapatikana.
Hiki ndio kikosi sasa,huyu Chillavert alikuwa kipa mtukutu,kukutia vibao ukichomesha hakawii,nafikiri alikuwa paraguay......safi sana1.Chilavet
2. Juma Nyosso
3.
4. Sergio Ramos
5. Pepe
6. Roy Keane
7. Joey Burton
8. Patrick Vieira
9.Mario Barotelli
10. Paul Gascogine
11. Luis Suarez
Chilavert unamjua?Hebu tupange first eleven ya watukutu,vurugu ,ambao hawakosi red card na kucheza rafu,mi naanza na:-
SERGIO RAMOS
PEPE
LUIS SUAREZ
DIEGO COSTA
IBRAHIMOVIC
Bado kipa mtukutu hajapatikana.