Lipijema
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 830
- 1,223
Habari wanajamii? Nimeonelea nikushirikishe kuhusiana na hiki kinachopatikana hapa nilipo.
Kwanza njna uenyeji takriban zaidi ya miaka 25 hapa kisiwani, hivyo basi ninao uwezo wa kukusanya samaki sato/ sangara na tukaweza kuzifikisha kwenye soko popote lilipo kutoka hapa kisiwani.
Samaki hawa hasa sato, nina uwezo wa kufanya conection na wavuvi tukawavua na kuwa ice then tukawafikisha sokoni, ni sato zenye ukubwa wa kuanzia inch 4 hadi 5 na nusu, wastani wa kati ya kg 2 hadi 5 kwa kila samaki.
Nimekosa mtaji tu kwa biashara hii, hivyo basi kama waweza kuwa na capital angalau 2m. twaweza kuwasiliana zaidi na ukafika kwangu tukaonyeshana hii fursa ukiwa kama umekuja kusavei na kubadilishana mawazo na ukipendezwa tunafanya kazi. Sina mengi.