GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Naitwa salum nipo mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga mm ni mjasiliamali wa kati na najihusisha sana na kilimo cha mpunga kibiashara nalimia kilombelo sehem za mbingu , mngeta , chita nk
Leo nimekuja na wazo ambalo nimekua nalo kwa muda mrefu nilijaribu kufanya na adi sasa nafanya ila kwa ufanisi mdogo kutokana na kukosa connection platform nk ni wazo la kununua maeneo sehem za mkuranga kisemvule vikindu nk na kuandaa mazingira ya njia kwa maana ya barabara za mitaa nk na kuuza viwanja
Hii biashara sio kama haifanyik no inafanyika na watu wanafanya kila kukicha ninachokiona bado wengi wanafanya kwa mazoea hakuna promotion za kutosha ila hii miji ndio kimbilio la watu wengi kwa sasa binafs nimewah kutafuta maeneo kwa uku ekar 1 inauzwa kwa tsh milion 15 adi 25 ekar 1 ukipata viwanja vyenye kipimo cha feet au miguu 20 kwa 20 unapata viwanja 15 adi 20 faida inapatikana sema nakosa mtaji na mtu wa kufanya nae ila biashara hii ukipata mtu sahii na promotion nzur inalipa sana
Naitaji kufanya hii biashara aliopo tayar kuitaji maeneo na kufanya biashara hii 0716671919
Sent using Jamii Forums mobile app