Tuungane kuokoa Mbususu

Wasichana wajinga sana,anahongwa laki 7 anaishia kununua madude ya ajabu baadae anarudi kuendelea kutembeza mbususu
Kuna.mmmoja nilimshauri afungue goli ya kuuza ubuyu kwenye meza apime kwa kilo kwa lad ha tofauti kama walivyokuwa wanafanya kkoo.

Nkaona hajaelewa biashara nkampitisha kwenye biashara naongea na wafanyabiashara wqnavyoichambua kuanzia mtaji hadi faida yake, machimbo ya wapika ubuyu mzuri. Akailewa idea akasema tupate eneo, nkapambana tukapata...

Kuna siku tunajadili how much tuwekeze mwanzoni, akasema tununue less wig kwanza ndo tuwekeze kwenye ubuyu...

Nilitoa mshangao wa kiamtumbi bhaa! Unasemaje?
Wig halizungushi hela, wig unakuwa smart but mfukoni mweupe,
Hakunielewa na mpaka sasa kanuna,
 
Haijawahi pungua thaman maana watumiaji ndo ninyi wenyewe
Hiyo mbususu ambayo hapo awali ilikua unaweza tukia Hadi miiezi ili ule mbususu lkn leo imekua Kama sahani ya wali kwa ntilie ...yaani ni Kama kwenda kununua maji dukani.
 
Hiyo mbususu ambayo hapo awali ilikua unaweza tukia Hadi miiezi ili ule mbususu lkn leo imekua Kama sahani ya wali kwa ntilie ...yaani ni Kama kwenda kununua maji dukani.
Kikubwa mwenyenayo haimsumbui naomba wewe mwenye dudu usiumie.
 
Kikubwa mwenyenayo haimsumbui naomba wewe mwenye dudu usiumie.
Mtaelewa tu....kwanza mbususu zenyewe tumesha zikinai ....ndio maana hata baadhi ya wanaume wameanza kuwachoma matundu yasio stahili .... Mwisho wa siku mnaishia kuzaa kwa matatizo ...alafu mnajiona mpo sawa tu
 
Mtaelewa tu....kwanza mbususu zenyewe tumesha zikinai ....ndio maana hata baadhi ya wanaume wameanza kuwachoma matundu yasio stahili .... Mwisho wa siku mnaishia kuzaa kwa matatizo ...alafu mnajiona mpo sawa tu
Wala haina shida,,maana hata ulikotokea nae jinsi unayosema inakomolewa.BINADAMU WA KILEO KHERI YA HAYAWANI
 
Hata sisi tunaogopa wanetu wa kiume kuwa kama nyie, mmekua vilizi walalamikaji....mnaotaka mbususu za dezo dezo tu ukiombwa 30 nduki kukopa nipige tigo niwezeshe uje kutulalamikia
Mtoa mada halalamiki kuombwa pesa, ila anawahurumia waomba pesa kutumia miili yao vibaya na kujilemaza kupita kiasi.
Na hapo juu katoa ushauri wake...
 
Kweli tupu mkuu, kukuta kabinti ka miaka 20 tu, kanakosa vitu muhimu kwake kama mtoto wa kike.

Ila hii pia inachangiwa na wazazi pia, kama unajua una mtoto wa kike na yupo kwako jua kua kuna vitu atahitaji na hataweza kukuomba wewe mzazi. Mzazi inabidi ujiongeza kumoa walau kiasi kadhaa ajihudumie.

Sasa mzazi unakausha tu unategemea huyo mwanao pesa atoe wapi?? Mjengee msingi mwanao wa kutokua tegemezi.

Ila ukiona bidada anaishi kwa mizinga hilo sasa ni tatizo kubwa.
 
Mtoa mada halalamiki kuombwa pesa, ila anawahurumia waomba pesa kutumia miili yao vibaya na kujilemaza kupita kiasi.
Na hapo juu katoa ushauri wake...
Huyo Dada hajasoma post ili aelewe amasoma ili atetee ufujwaji wa mbususu yake ....so bro hata uongee Nini hamuwezi elewana
 

Although umeongea vizur but umeshindwa kuangalia other factors….

First wazungu wanasema ‘Your love can’t live without money’, Hapa lazma ulipie bills tofaut tofaut,pia umueke mwanamke wako vzur yaan ummaintain….. unasema cjui watafte kazi unaona ni jambo rahisi sana au?? af sio kila mtu anaeza kufanya kazi acha kuchosha watoto wawatu.

Pia nature ….huez pingana na nature we women tumeumbwa yaan viumbe tegemezi na hii inaonekana tangu huko mwanzo up to date.

Neverthless If u r good at something don’t use it for free… mfn najua kabisa haya mahusiano hayatanifikisha popote asa y nitumike for free kuna vitu unatakiwa uvilipie uvipate hapa kukupa free ni kuharib resources

Pia katika sijui kujamiiana ili mwanamke aridhike yaan n process ndeefu sana ambayo wanaume kwa kipind kiref wameshindwa … yaan mwanamke anaishia kukupa raha ww tu asa y asiombe hela akajipooze asee?!!

Hoja yako n nzuri ila kunq factor umeshindwa kuziangalia.
 
Kwani sie tunaotumia miili yetu tumesema tunapata nayo tabu jamani? Yani mnatuhurumia sie kutoambwa serious???
Yaah mnapata tabu sana, ndio maana kila leo mnahamasishana kutafuta pesa muache kumtegemea mwanaume kwa kila kitu lakini kwa bahati mbaya sana hizo mambo huwa zinashindikana kwa hujma za ninyi wenyewe kwa wenyewe.

Imagine mtu anategea apigwe mtu ndo apate pesa, bad enough haijalishi ni mwanaume wa namna gani ila tu alipwe pesa.
 
Huyo Dada hajasoma post ili aelewe amasoma ili atetee ufujwaji wa mbususu yake ....so bro hata uongee Nini hamuwezi elewana
Tusikate tamaa mkuu, tumueleweshe taratibu na iwe faida kwake na kizazi chake.

Ngono ni starehe ukiigeuza biashara lazma uumie haijalishi ni jinsia gani.
 
Sasa mbona hamueleweki wasema tunahamasishana kuacha kutegemea, mwingine asema tunategemea ndio maana tunatoa mbususu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…