Tuungane kuokoa Mbususu

Sasa mbona hamueleweki wasema tunahamasishana kuacha kutegemea, mwingine asema tunategemea ndio maana tunatoa mbususu.
Ushaelewa mkuu labda kama tu unataka kubishana!!

Kwani vikundi vya wanawake kuwezeshana vipo kwa ajili gani?? Mikopo kwenye kila halmashauri kwa wanawake ina asilimia kubwa kuliko makundi mengine!! Yote hii ni kuwapush ili muache utegemezi, lakini ndo hivo mnasemaga adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Badala yake mnaendelea kua tegemezi kwa kutegemea hicho kiungo.

Na hiyo ndo sababu mleta mada kakemea kua mjibidiishe.
 
It is what it is
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…