Tuungane kuokoa Mbususu

Tuungane kuokoa Mbususu

Sasa mbona hamueleweki wasema tunahamasishana kuacha kutegemea, mwingine asema tunategemea ndio maana tunatoa mbususu.
Ushaelewa mkuu labda kama tu unataka kubishana!!

Kwani vikundi vya wanawake kuwezeshana vipo kwa ajili gani?? Mikopo kwenye kila halmashauri kwa wanawake ina asilimia kubwa kuliko makundi mengine!! Yote hii ni kuwapush ili muache utegemezi, lakini ndo hivo mnasemaga adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Badala yake mnaendelea kua tegemezi kwa kutegemea hicho kiungo.

Na hiyo ndo sababu mleta mada kakemea kua mjibidiishe.
 
Habari zenu....! Leo sipo sawa kidogo baada ya kutafakari hili swala ..

Sijui ndio utandawazi au kuto kuwa mjuvi wa Mambo vya kutosha .

Hivi jamani kwa Nini tunatengeneza jamii ya wanawake ambao hawawezi kufanya kitu Hadi waliwe mbususu zao au Hadi waibe hela kwa jina la mbususu zao . Yaani mwanamke bila kuhusisha mbususu hawezi akafanya kitu chochote kile.

Kilicho nikera zaidi utakuta binti tu wa afya njema sio kilema na ananguvu za kutosha lakini hawezi kujinunulia pedi yake mwenyewe ...yaaani Hana uwezo wa kujitengenezea elfu tano yake halali kwa mwezi kwa ajiri ya kununua pedi. Na utakuta binti niwa 20s years. Yaani binti Hadi apigwe miti siku kabla ya period yake ndio apate hiyo hela ya pedi.

Kwa Nini tunatengeneza kizazi Cha kumfanya mwanamke awe tegemezi kiasi hiki .....? Kwa sisi wanaume yaani umezaa watoto wakike alafu Hawa watoto hawata kuwa na uwezo wa kujigaramia chochote kwa nguvu zao ila Hadi watumbukizwe maboo ndio wapate hela ya kulipa bills zao.

Na hii yote inachangiwa na jamii ya kiume kuendekeza kuwajari wanawake kupita kiasi hata sehemu zisizo na msingi na hii imepelekea wanawake kulemaaa na kujiona wao wapo spesho kwa ajiri ya kutumika ili wapate hela au watapeli ili wawe na hela ...jamani hii haiwezi ikawa jamii imara na kizazi makini.

Na nyie wanawake embu jifunzeni kutafuta pesa kwa njia halali kwa faida ya miili yenu na akiba ya pepo kwenu . Haiwezekani mtu hata ukitamani kula kuku tu yaani Hadi utafute mwanaume wa kukupiga mashine ndio ule hiyo kuku unaukosea mwili wako na muumba wako kisa tu ulitamani kula kuku ya elfu 15.

Wanawake jioneeni huruma embu anzeni kujishughilisha hata na vikazi vidogo mpate hela halali na yenye kukupa thamani yako na sio hivi vichenji vya bia vina zalilisha utu wenu.

Imefika kipindi kwa baadhi ya wanawake wachakarikaji ukweli kwa nguvu zao wanaonekana wa hovyo kwamba wamehongwa ndio maana wamepata vile vitu ....hapa usiwalaumu wale wanaosema hivo wa kujilaumu ni nyie maana wengi wenu mmefanya miili yenu ni duka .

Wanawake Kama kweli mnapenda heshima na kuheshimiwa embu anzani nyie kwanza kwa kulinda miili yenu na kujishugurisha Kama wanawake wa mataifa mengine ,tafuteni pesa zenu bila kuhusisha mbususu zenu ...jifunzeni kujigharamia vitu vidogo vidogo ....embu siku nyingine mwanaume akikusimamisha mada iwe ni kukuomba kuwa business partner wake na sio lini mtoke usiku akakununulie pombe na mishikaki alafu akunyandue kwa jina la dinner date huo ni upuuzi.

NB
Mwenye kusikia na asike .... La si hivyo ile kauli mbiu walio pambana nayo Bibi,na mama zenu kusema mwanamke sio chombo Cha starehe ndio mnaihalarisha Sasa......yaani mtatumika kwa starehe Hadi mbususu ziwakomae Kama vifuu vya nazi ....yaani mtachakazwa hasa kwa hizi chenji za bia .....yaani hizi hela mnazo ona mnatupiga kwa kuwahonga ni hela ambazo mkifanya kazi mtazipata bila kuzalilishwa halafu hizi ni chenji za baa zikikosa kwa kwenda ndio tunawapa nyie na nyie mnaona mmetupiga [emoji38][emoji38][emoji38] acheni ushamba.

Jitumeni hivi vi elfu 30 , 40 sio hela kubwa Kama mnavyo zani kwa mtu anaye fanya kazi ....waambieni na wadogo zenu na watoto zenu wafanye kazi

Wale watakao sema nalia sijui nimeachwa au Sina hela ya kumpa mwanamke nawaambia sio Simba wote wanapenda kuua swala wengine hawapendi ila ni njaa tu inawalazimu.
It is what it is
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom